Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Umeshasema Dar mkuu inatosha.Nauliza huko dar hakuna wazee watakao weza kumweka chini huyo mwanamke na kumtandika fimbo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshasema Dar mkuu inatosha.Nauliza huko dar hakuna wazee watakao weza kumweka chini huyo mwanamke na kumtandika fimbo?
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Hebu niambie mama hana haki na mwanae,?kwanini mnagandamiza sana muna kosa gani kafanya mpaka mumuone peter yuko sahihi ,hiyo maiti au itafufuka jamani
Shoga angu jf leo wanichamba jamani
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]binamu bwanaNaombeni msinichambe jamani sina nguvu za kuchambana leo,
Kwa kweli!Ni maelekezo ya mganga.
Huyu dada inawezekana alimuua mwanae
Umeongea pumba sana mkuu.Kwa nini Serikali ya Dar es Salaam na uongozi wote usiingilie kwa kumuweka ndani Huyo Malaya au wanasubiria mpaka vifo vitokee ndiyo wasemee... Kafara yoyote inayotolewa kwa kuua lazima kuwe na Mtafuruku na Iwe gumzo Nchi nzima. Siri ya Kifo cha huyo Mtoto anakijua Mama yake Mungu hahusiki.. Ila kwa Nini Toka Juzi na matusi yote Hakuna Kiongozi wa serikali kuingia huu upuuzi .. Inakuwaje Mwanamke mmoja anasababisha watu kuwa macho na kushinda kwenye mitandao ya Jamii kufautilia Ujinga.. Nyie Wacha siku hizi baada ya kukosa Nguvu za kiume mumekuwa legelege kiasi Hicho...
Binam sitaki uamue kesi tena siku hizi naomba poo mapema tu[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]binamu bwana
Eeeheee wakuchambe na wewe waone moto wake wameona mi nimepoa wananirarua hasa zechrisHivi nyie kinawauma nini wakuu? Nyie ni ndugu zake Muna???? Punguzeni mihemko isiyo na maana..mtu hamumjui na wala hamna undugu nae lkn mnalalamika weee. Dah mi nashangaa sana.
Singo maza na maslay queen wasiojielewa naona wana hasira na Peter, bwana peter ana haki ya kudai kumzika mwanae,kamlea tokea anazaliwa hadi hapo alipo.
Wanichambe tu kwa kweli mi sijali. Mi siwezi kujadili kitu nisichokielewa vzr kisa tu nimekisikia kwenye hizi teams za mtandaoni. Muna ana maisha yake na changamoto zake kifamilia ambazo wengi hatuzijui vzr lkn watu wanajudge tu hata muna mwenyewe hawamjui. Nonsense!Eeeheee wakuchambe na wewe waone moto wake wameona mi nimepoa wananirarua hasa zechris
Umeielewa id yake?Umeongea pumba sana mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]stress free zone!Hivi nyie kinawauma nini wakuu? Nyie ni ndugu zake Muna???? Punguzeni mihemko isiyo na maana..mtu hamumjui na wala hamna undugu nae lkn mnalalamika weee. Dah mi nashangaa sana.
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenziwe!Wanichambe tu kwa kweli mi sijali. Mi siwezi kujadili kitu nisichokielewa vzr kisa tu nimekisikia kwenye hizi teams za mtandaoni. Muna ana maisha yake na changamoto zake kifamilia ambazo wengi hatuzijui vzr lkn watu wanajudge tu hata muna mwenyewe hawamjui. Nonsense!
Hapana aisee. Kila mtu anampangia cha kufanya..acha tu awaumize vichwa..mmeenda airport holaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]stress free zone!
Tunamaliza hasira zetu za kuachwa na chuki kwa mtu[emoji3][emoji3][emoji3]kujifanya sisi ndo watimilifu..na jeneza mama kashaweka
Kuna vidume pia..vinachonga sana kama wao ndo baba mtotoAdui wa mwanamke ni mwanamke mwenziwe!
[emoji2] [emoji2] hii ndo jf always mwanamke ni mkosefu dear!Hapana aisee. Kila mtu anampangia cha kufanya..acha tu awaumize vichwa..mmeenda airport holaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]