Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Wanichambe tu kwa kweli mi sijali. Mi siwezi kujadili kitu nisichokielewa vzr kisa tu nimekisikia kwenye hizi teams za mtandaoni. Muna ana maisha yake na changamoto zake kifamilia ambazo wengi hatuzijui vzr lkn watu wanajudge tu hata muna mwenyewe hawamjui. Nonsense!
Tena demi waambie kuwa ni wapuuzi kabisa hivi wanajua kulea mtto hao ukute wagumba ,,wanajaji tu muna mbaya mbaya shenziii zao kabisa,na ole wake mtu anichambe ukinichamba nakunywa maji nalala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] hii ndo jf always mwanamke ni mkosefu dear!

Muna kawanyoosha mtu...huko hawana hamu!yaani huyu Dada sikutegemea kwa kweli kaahhh!!
Ngoja tubaki kutukana tu!hatuna namna!
Kuna tabia ya kugandamiza mwanamke siipendi kabisa mwanamke nae ana maamuzi
 
Acha...hawakosi umbea wotee wa mjini wanao![emoji4] [emoji1] [emoji2] [emoji2] halafu ukute wana akaunti IG za umbra

Yaani wanajua kila umbea na wadada na wakaka wote wa mjini

Wanapata tabu sanaa!
Namalizia wambea,wanafiki,wanapenda ubuyu kuliko hata sisi nakazia
Kuna tabia ya kugandamiza mwanamke siipendi kabisa mwanamke nae ana maamuzi
 
Anasema ameshalimaliza kuwa peter ndiyo atamzika mwanaye na LE MUTUZI atasimamia ununuzi wa jeneza!!
anasema ana siri nzito kuhusu Peter atazitoa baada ya maziko. Je Peter hana uwezo wa kutungisha mimba? sasa ni siri gani hiyo inayongoja maziko!
 
Kazi mnayo mbona? Na mtashangaa kesho hakuna leaders wala mwananyamala[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji2] [emoji2] jamani ndo ninavyoona hvyo hvyo!!!looh!hatari ya Mungu
 
anasema ana siri nzito kuhusu Peter atazitoa baada ya maziko. Je Peter hana uwezo wa kutungisha mimba? sasa ni siri gani hiyo inayongoja maziko!
Daaa!!hawa wanawake ni kuishi nao kwa akili sana!!ngoja tusubilie kwani najua baada ya mazishi picha ndio litaaanzaaa!!
 
Back
Top Bottom