Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Haya ndio mambo ambayo watanzania walio wengi wanaweza kuyajadili kwa ufasaha na kuyapembua kwa uyakinifu.

Acha mheshimiwa rais magufuli azidi kuwanyoosha hadi mpate akili timamu.

Wiki nzima wakati watu wamekalia habari za udaku tu.
 
Na huko Nairobi inasemekana kulikuwa na show ya Joel hakuna cha hospital wala nn Joel anampandishaga hiyo mtoto kwenye majukwaa ili atoe ushuhuda kama yeye ndio kamponya na Peter alikataa mtoto wake kwenda huko
Shangaa halafu linatoka senge moja linasema eti muna aachiwe mtoto ....kama aliamua kukomaa angelea peke yake na kuuguza mpk kusomesha ....sio hela za matibabu atoe pita ye alete upuuzi ....limeomba nauli ya ndege limepanda bus janamke fala lile mweh ....
Sijui mwanamke Toleo gani msiiiiieeeew
 
[emoji2] [emoji2] I don't nini kinamfanya awehuke hvyo!!

Daah!hatari tupu![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Yaani sielewi halafu yule Joel sijui hamshauri, hivi ukamlize mama yako mzazi kisa upumbavu usio na kichwa wala miguu!!

Alitumwa adange akiwa kwenye ndoa, yaani kaniuuudhi basi tu
 
Muna amechanganyikiwa,analia na kuhangaika na mengi. Yule mtoto alikuwa fursa kwake. Kilikuwa kitega uchumi chake kuanzia kwa wanaume walioambiwa kuwa ndo wazazi wa mtoto mpaka kanisani..! Kwa sasa hii fursa ya msiba ndo fursa ya mwisho kwake ni lazima aipiganie kupata zile rambirambi. Huyu mtoto kafa kutokana na dhambi za mama yake. Tangu kuugua mpaka kifo chake ni matokeo ya dhambi za muna.
 
Asante Mod's kwa kuniachia huru... Ban inauma.

Dada Munalove, kwanza shikamoo, japo najua utaikataa shikamoo yangu, maana mpaka leo bado unaji-bebisha wakati kidali poo ulicheza na shangazi yangu wa Kimara....Anneth. Shangazi yangu sa hivi mashavu yashachuma kunde....shauriro.

Leo naomba niongee na wewe kidogo kuhusu huu mwenendo wako na unapoelekea.

Da Muna, kwanza mie nakupenda sana...sana, na ni mmoja wa follower wako kule Instagram, japo si kwa user name hii.

Da Muna, unakumbuka jina lako la kuzaliwa, namaanisha lililopo kwenye cheti cha kuzaliwa pale ofisi za RITA? Nakumbuka ulikuwa unaitwa Maimuna Hassan, leo nasikia hutaki hata kulisikia, na unajiita MunaLove, Muna mapenzi....kwa mapenzi gani haswa?....ungekuwa unajua mapenzi na kuhandle bwana usingemkimbia Peter, mumeo wa kwanza, ndio.... kwani hukuwahi kuolewa wewe?....unajisahaulisha? Maana katika page yako kule insta hakuna hata picha moja ya baba mtoto wako....sio vizuri.

Zari yuko na Diamond lakini kwenye page yake picha za Ivan zipo, hata kwenye page ya Dina Marious kamuweka ncha kali wake Ndege japo wamebaki kulea mtoto. Mh. Sugu na matusi yote aliyopata na anayoendelea kupata bado hajafuta picha za Faidha na mwanae Sasha, itakuwa wewe ng'anda wa karatani?

Haya sasa turudi, hivi Kalala jr a.k.a mariyoo ndo mshaachana jumla eeeee, basi kazi. Kwani hiyo Mil.1 'uliyomkopesha' ndo tiketi ya kuachana kwenu?
Kwanza aliyekwambia 'ukweni' panakopeshwa nani? Kwa akili zako ulijua Kalala ukimkopesha hiyo pesa atakulipa? Kweli mjini umekuja jana na roli la makabichi, Ila ushajifunza kuwa wapenzi hawakopeshani...elewa hivo.

Haya bidada, hivi unakumbuka asili yako wewe, unalikumbuka kabila lenu kweli? Unakumbuka enzi za Kanumba wewe na Dida mlivyokuwa mmepauka kama goti la kilema?.... Leo hata kutoa fungu la kumi kusaidia wasanii wenu mnashindwa? Wewe (inasemekana) unauza ngada, Dida (inasemekana) anauza ngada, ila yote maisha.

Hivi unakumbuka kama ulikuwa na mume wa ndoa anaitwa Peter, mtoto wa Magomeni? Najua huwezi kumkumbuka maana ushawapata akina Kalala jr na Petiti man..

Hivi unajua Peter alipo? Ndio, Peter, baba wa mtoto wako Patrick. Nasikia unamwambia Patrick mwanao kuwa baba yake ni Kalala jr, haya, ushaachana na Kalala jr, mtambulishe kwa Petit man maana kila kukicha baba wapya.... mpaka mimba kakupachika!

Mumeo Peter alikupenda sana, ila ndio kisicho riziki, ukamuendea kwa mganga, ukamfusha na mafusho yako sabini....baba wa watu kawa kama zezeta, wewe ulikuwa sio wa kumlaza mumeo wa ndoa Peter chini sakafuni, kitandani ukalala na Kalala Jr,....haya kiko wapi.

Peter alikusitiri sana kaka wa watu, we sio wa kumcheza shere ilikuwa.
Alikutoa mafichoni na vi-maigizo vyenu uchwara... ulikuwa umekauka kama Rubby,....ulikuwa unanuka vumbi. Ila hukumbuki hata moja lake, kweli tenda wema.....!! Leo wamlaza kaka wa watu chini.

Peter akawa zuzu mzuzue, ulivyoona anakubana, ukaamua kuhamia kwa Kalala jr, huko hamkudumu mkaamua mpange nyumba. Haya.. Kalala kaosha rungu weeeeee, Petit kiulaini kaja kufunga goli, kweli Mungu shibidu.

Halafu ujue Hamisa japo haongei ila inamuuma, wewe sio wa kumkuwadia Lulu kwa Majey, ndio hata kama Hamisa alimpokonya Majey kwa Zuhura, ila kumbuka kazaa nae... Ona anamlea Fanta na baba mwingine, William Bugeme, (Bossmtoto)... Hamisa nae alimpokonya William kwa Linnah, walah wasanii wa Bongo wachafu sana!

La mwisho kwangu, Da Munalove ndugu zake Peter wanaomba ukamzindue ndugu yao maana kawa kama ndondocha. Mpaka leo hajaoa, nyumba yake kaikimbia... anakaa kwa mama yake mzazi. Usiku kucha anakutaja wewe Maimuna Hassan, (mganga wako kiboko).

Pia hiyo mimba ya Petit jiandae kugombana na ukoo mzima pamoja na team nzima ya Diamond, Esmakham, Zari, Kiba na Kalala jr.

Halafu wewe sijui una zindiko gani....unajua mwanaume akiwa nawe halafu akija kuachana nawe, hapandi juu ng'oooo. Nahisi unawabebelea nyota zao.
Au ndo Kinje anavyowatuma nyie punda wake?

Mie sijakuchamba sana maana naogopa usije ukakataa kunialika kwenye baby shower yako bureeeeee!! Si unajua mie team Wema and Muna.

Ila Da Muna, kama kweli Lulu anataka kufunga ndoa na Majey waambie wahamie angani....si unajua muosha huoshwa eeeee. Sie yetu macho na masikio!
Muone, ndio maana umem-bambikia Peter mtoto....Patrick sio wake.


Muna na mwanae Patrick Peter
 
Hopeless kabisa wanadhani walivyotendwa wa ndo na wengine wamepitia mule mule pyeeee.

Mtu kaikimbia ndoa yake mwenyewe ila matunzo alikua anayapata hajawahi badili majina ya mtoto anzia cheti cha kuzaliwa,cha shule hadi hosp leo ataje baba mwingine afu achekewe tu kisa ni mfiwa hapana,wafiwa na wote peter na muna kila mmoja ana haki sawa
Kabsa yan Hawa singo
Maza wengi wao n kanyaga twende
Wanskumwa tu na upepo
 
Na huko Nairobi inasemekana kulikuwa na show ya Joel hakuna cha hospital wala nn Joel anampandishaga hiyo mtoto kwenye majukwaa ili atoe ushuhuda kama yeye ndio kamponya na Peter alikataa mtoto wake kwenda huko
Nina hasira hapa nilipo huyo mjinga muna angekua ndugu yangu sa hivi nshamtembezea kichapo cha nguvu mchawi mkubwa yule
 
Mama akee analia masikini ndio mana milly aliongea mwanzo tukamuona mbaya
Na bila Milly watu wasingechanga maana baada ya Milly ndo Zamaradi akaanzisha kampeni ya kumchangia...!!!

Yaani tafrani
 
Yaani sielewi halafu yule Joel sijui hamshauri, hivi ukamlize mama yako mzazi kisa upumbavu usio na kichwa wala miguu!!

Alitumwa adange akiwa kwenye ndoa, yaani kaniuuudhi basi tu
Joel na muna wote wachawi.....haiwezekani mtoto anaumwa ye ampandishe jukwaani kumtolea ushuhuda si umbulula huo
 
Bila Milly watu walikuwa hawajui kama mtoto kazidiwa bada ya post ya muna ndio kina zamaradi kutokeza milly aliongea ukweli mtupu
Na bila Milly watu wasingechanga maana baada ya Milly ndo Zamaradi akaanzisha kampeni ya kumchangia...!!!

Yaani tafrani
 
Haya ndio mambo ambayo watanzania walio wengi wanaweza kuyajadili kwa ufasaha na kuyapembua kwa uyakinifu.

Acha mheshimiwa rais magufuli azidi kuwanyoosha hadi mpate akili timamu.

Wiki nzima wakati watu wamekalia habari za udaku tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi ipo tumesahau ata ya lugola kushusha watu vyeo
 
Enzi za bifu na wema,wema alianzisha msemo kila mtu na mama ake ili kumkomoa muna ambae hapatani na mama ake.

Mtu akiokoka anasamehe wote ila aanze maisha mapya ya wokovu,sasa mwenzetu sijui kaokokaje huku bado ana ugomvi na mama ake Na ndugu zake
Umeona kuhusu alichomfanyia mama akee inaonekana hayupo vizuri na mama akee mpaka dada zake
 
Chakubanga nae alisema Jana muna hajakubali tukamuona mzushi.Leo kasema eti muna amepanga kumzika dogo usiku.nimeshangaa mwaya
Mi nilijua tu hawezi kubali kirahisi hvyo!

Huyu Dada akili zake sio za hapa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]kuna tofauti kati ya ndoa na uhawara ujue

Mtu kama ulizaa ndoani mtoto ni wababa...mama huna haki!haswaa akiwa anamhudumia tena ktk uislam ndo huolewi mpk idhini itoke ubabani kwenu mama hahusiki hata chembe kwenye ndoa

So Muna kwa kua mtoto hata kama wa Castro lakini ulimuaminisha peter kua ni wake mpe haki yake kwa kua alikua anamhudumia!
[emoji2]
 
Halafu siku zote anapost pics za show yake ya nairobi bada ya mtoto kufa anapost post ya kujiliza kinafki
Joel na muna wote wachawi.....haiwezekani mtoto anaumwa ye ampandishe jukwaani kumtolea ushuhuda si umbulula huo
 
Back
Top Bottom