Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Muna ametua Airport bila maiti ya mwanaye

Kawakomesha hao mbwa mtoto uishi nae mwenyewe halaf msiba usifanyike kwako ukafanyike kwingine,,

Mwenye haki ya mtoto ni mama bana maana alikuwa anaishi kahangaika nae kumuuguza

Waswahili mnagombania hadi maiti utafikiri inafufuka lo
 
Ha ha ha kweli aisee mama t kajitahidi kusnap Jo'burg mara Durban wapi. Si tuko zetu airport tunampokea muna
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuko airport tushatoka sasa tunaelekea mbezi baadae mwananyamala sidhani km kesho tutazika maana sio kwa hili vagi
 
Michango michango michango...nimeona Leo shemeji wa Muna anatoa namba almost tatu hivi za kuchangia nikasema loooh![emoji5] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji4] yamekua haya tena

Msiba umekua kitega uchumi!
Unaona ee upuuz mtupu
 
Back
Top Bottom