Muna Love: Nilikuwa naenda kwa waganga kila wiki na marafiki zangu

Muna Love: Nilikuwa naenda kwa waganga kila wiki na marafiki zangu

Kila siku nauliza hivi huko daslamu watu wore mnajuana!? Maana Leo utasikia mwijaku kesho menona. Hujakaa sawa Mina yani hata sijawahi kupata kuwasikia. Daslamu nasema hivi mbona kazi nzito.
 
Ila shoga angu kiboko khaa, warumi mie napenda ushirikina ila shoga angu umezidi, kwa hiyo wewe na kina wema na lulu kila wiki nyie mnaenda kuroga? , Kwa hiyo na nyie kwenu ilikua kama ibada kila wiki lazima muende kwa tawire? Ila nimecheka khaa[emoji23], so mda wote ule wanakuita Muna machupi kumbe kweli ulikua unamroga Wema, jamen shoga angu mbaya wewe , ila kama umekiri kosa na kuamua kuokoka ubarikiwe.

Kupitia Kipindi cha EXCLUSIVE, cha Zamaradi mketema, Mjasiriamali maarufu Muna love, amekiri kujihusisha na Imani za kishirikina huko nyuma ambapo alikua akishawishiwa na rafiki zake( hakuwataja) ila wanazengo tunawajua. Muna aliendelea kutiririka na kudai walikua wanaroga kila wiki kwa waganga tofauti wakienda kuroga waume za watu wawachukue, ambapo Muna kwa kauli yake alikiri ni kweli hayo mambo yalikua yakitokea, yani anampeleka shoga ake kwa mganga akimtaka mume wa mtu flan then baadae muna anakuta ni kweli yule Rafik yake amempata yule mtu aliyekua akimroga, ila alikiri nguvu hizo huwa hazidumu dawa zikiisha tu hao wanaume hurudi kwa wake zao. Pi amekiri kushiriki dhambi nyingi za kutisha na kuumiza Rafiki zake .

Ikumbukwe Apo awali Muna alikwaa scandal ya kumroga msanii wema sepetu na kuchukua nyota yake , kuiba chupi na kupeleka kwa waganga, wanazengo nadhan Mnajionea hali halisi ya wema sepetu alivyo sasa , yan haya maisha anayoishi Muna ya kifahari kihalali ni ya wema sepetu, ila kupitia ushirikina ameweza kumzima nyota ya mwanadada huyo na kuwa nayo yeye, Muna sasa hivi anapesa sana na mvuto kwenye jamii , ukiambiwa huyu Muna alikua anabeba mabag ya wema sepetu utakata, ila nyie marafiki wabaya khaa.


Muna aliendelea kukana kuwa si kweli hakuhusika na kifo cha mwanae kama wengi wanavyomtuhumu kutoa kafara, ila ni mapenzi ya Mungu kamchukua mwanae.


Hapa Ngoja nikupe Somo shoga angu mimi mwenyew mshirikina[emoji16], huko kwa waganga ulikokua unahangaika kufanya mikataba na mashetani bila wewe kujua madhara yake ndo kilichosababisha kifo cha mwanao. Tunajua huwez kumuua mtoto wako uliomzaa ila ile mikataba ya kishetani ndo iliyomuua mwanao, in short unalipa gharama ya madhambi uliyoyafanya, hiyo ndo hasara ya ushirikina shoga angu , na huo utajiri ulionao wala sio Yesu mi yale maagano na makafara uliyokua unayafanya ndo yamekuletea mafanikio, your biggest mistake was to sign the contract with the devil , satan always never play fair , he will give u want you want ila lazima ulipe gharama, sasa shoga angu gharama yenyewe ndo hiyo ya mtoto wako kutolew kafara, aibu ya kuwa na baba wawili tofauti na changamoto nyingi ulizozipata, uzuri na wewe Ulikiri kabisa kuwa yote uliyopitia ni gharama unalipa dhambi ulizochuma uko nyuma, well we all pay our sins in different ways sema tu yako yanaonekana kwa kuwa wewe ni maarufu .


Ila kwenye hii was nterview shogs angu unaonekaan ni muongo kupitiliza bado unajitaji kufunguliwa , kuna mambo unaficha , halafu uende ukapatane na Mama yako japo kinafiki .
Moto fire
 
Hadi binamu leo umegonga na kiingereza kusisitiza jambo, itayofuata binamu utatugongea kikorea kabisa
 
Akiulizwa swali la kumbana anadai anamuachia Muncgu, Muna mtoto aliepo Moshi anaesemekana ni wako kweli ni wako, namuachia Mungu kama ni wangu wamlete, mimi nina watoto wengi, ni kweli ulimzaa wewe? namuachia Mungu, mama ako mnawasiliana ?sijamuona tangu siku 3 baada ya kumzika mwanangu, mna ugomvi? , namuachia Mungu. Mungu ameniokoa, ameniheshimisha sana sasa hivi nahojiwa BBC, nimeokoka na siongei na mama angu nimemuachia Mungu aamue. Ulokole wa kisulisuli.

Muna ni muongo muongo halafu akili hana , yani majibu yake tu unajua ukweli wote , si angesema tu no comment basi , sasa yeye anajinda wee mxieew zake
 
Ila ni ukweli usiojificha wadada wadangaji wengi wanakwenda sana kwa waganga....

Hiyo mbona ipo wazi , watu wanaroga sana , mwenznagu mjin bila uchawi mambo hayaendi binamu , ila Muna alikua kiboko jaman kila wiki khaa[emoji23]
 
tabata nako ni shidaa...emu tupe details

Mmh Uko binamu hakuna kitu nimeshaenda sana nikachanjwa chale mpaka kwenye makalio, nyota zinapanda siku mbili unaiba mume wa mtu , baada ya siku nne anarud kwa mkewe Mxiee mambo gan hayo, Tabata wanaenda wanaojifunza kuroga, Tanga ndo habar ya mjini binamu , Tatizo huna connection
 
Back
Top Bottom