Muna Love: Nilikuwa naenda kwa waganga kila wiki na marafiki zangu

Kila siku nauliza hivi huko daslamu watu wore mnajuana!? Maana Leo utasikia mwijaku kesho menona. Hujakaa sawa Mina yani hata sijawahi kupata kuwasikia. Daslamu nasema hivi mbona kazi nzito.
 
Moto fire
 
Hadi binamu leo umegonga na kiingereza kusisitiza jambo, itayofuata binamu utatugongea kikorea kabisa
 

Muna ni muongo muongo halafu akili hana , yani majibu yake tu unajua ukweli wote , si angesema tu no comment basi , sasa yeye anajinda wee mxieew zake
 
Ila ni ukweli usiojificha wadada wadangaji wengi wanakwenda sana kwa waganga....

Hiyo mbona ipo wazi , watu wanaroga sana , mwenznagu mjin bila uchawi mambo hayaendi binamu , ila Muna alikua kiboko jaman kila wiki khaa[emoji23]
 
tabata nako ni shidaa...emu tupe details

Mmh Uko binamu hakuna kitu nimeshaenda sana nikachanjwa chale mpaka kwenye makalio, nyota zinapanda siku mbili unaiba mume wa mtu , baada ya siku nne anarud kwa mkewe Mxiee mambo gan hayo, Tabata wanaenda wanaojifunza kuroga, Tanga ndo habar ya mjini binamu , Tatizo huna connection
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…