Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

asante sikumfahamu vizuri huyu shankupe. Muna rudisha rudisha machozi Yangu niliyomlilia mwanao na mchango wangu
Tulia wewe, nyie ndio mnadandiaga magari kwa mbele so wee vung'a tuu.
 
Baada ya miaka 2.....movie inaendelea,haina haja ya huyu mdada kutafuta story kwa ajili ya movie,namshauri msiba ukiisha,story ya maisha yake aiweke kwenye movie
 
Dah kumbe Mr Peter kafanywa ndondocha [emoji51][emoji51] ndio maana pamoja na kupigiwa mke bado anaongea kwa upole hadi leo
DaJane kweli ubuyu ulikuwa nao muda tu
 
Wale wote mliopita njia ya munna , haraka sana mkapime ngwengwe. Maana wengi wenu hamkumbuki usalama condom.
Steve Butiama nahisi na wewe ulipita kwa kuwadi mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…