Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa huyo Muna ana uzima upi?Mizigo mibovu kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyo Muna ana uzima upi?Mizigo mibovu kivipi?
Mapenzi upofu hahaaaSasa huyo Muna ana uzima upi?
Yaani movie kamili imetokeaKabisaaaa
Hakuna kama JF
Ipo wapiSura ya muna tu ndo huwa inanishangaza, ahsante sana camera 360, ahsante sana filters
Tulia wewe, nyie ndio mnadandiaga magari kwa mbele so wee vung'a tuu.asante sikumfahamu vizuri huyu shankupe. Muna rudisha rudisha machozi Yangu niliyomlilia mwanao na mchango wangu
Chibu hujapiga kweli muna?
Umechanganya na taifa gani?
Unataka Bro anitoe nduki ka kastorChibu hujapiga kweli muna?
Hahaa!!! HollandAkikujibu uniite nami nijue