sasa mbona mimi unanipa kiuchoyoVipo vya kushea ila.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa mbona mimi unanipa kiuchoyoVipo vya kushea ila.......
Kapotea njia huyo. Au kachanganya majukwaa. Embu apite asitupotezee mood ya kumung'unya ubuyu sieUlitegemea kukuta uchambuzi wa kisiasa au habari za uchumi na anga la kimataifa jukwaa hili??
Uko sahihi da Jane. Mi Casto rafiki yangu na alonihakikishia mtoto ni wake.Mtoto ni wa Casto Dickson....ushahidi ninao.
Nami na uhakika mtoto ni wa Casto, hili sina shaka naloUko sahihi da Jane. Mi Casto rafiki yangu na alonihakikishia mtoto ni wake.
Wewe lazima uwe na uhakika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nami na uhakika mtoto ni wa Casto, hili sina shaka nalo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...hahaha,sio km wewe [emoji23] [emoji23] Casto na Muna,najua vzr mahusiano yao hadi ugomvi, toka Jana nite nawasiliana na Casto,siwezi ongea sana,nawaachia wenye mastory yao ya town
Mc Pilipili vipi mambo mzee baba😀😀😀...hahaha,sio km wewe [emoji23] [emoji23] Casto na Muna,najua vzr mahusiano yao hadi ugomvi, toka Jana nite nawasiliana na Casto,siwezi ongea sana,nawaachia wenye mastory yao ya town
Acha nifanye process Ndugu yangu, nimtumie senti ,western Union, ajipoze na huu msiba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitumie mimi ntamfikishia CastoAcha nifanye process Ndugu yangu, nimtumie senti ,western Union, ajipoze na huu msiba