Munde Tambwe ni nani ?

Leo anawasemea wananchi wake hawataki katiba mpya! Kupatwa kwa nchi ndio huku sasa
 
CCM ondoeni hivyo viti maalum bungeni. Ni matumizi mabaya sana ya pesa za walipa kodi.Mtu yuko bungeni miaka 15 kwa viti maalum!
 
Nakala imfikie Sofia Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…