Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Leo anawasemea wananchi wake hawataki katiba mpya! Kupatwa kwa nchi ndio huku sasa
NI mtoto wa mbunge wa viti maalum wa Tabora enzi za baba wa taifa marehemu Mosi Tambwe, Munde alisoma isike na alikuwa mchezaji wa breack dance mzuri sana enzi hizo pale Tabora hotel na mwana isungu club, alikuwa mmoja kati ya mabinti wengi wa mzee Tambwe waliokuwa wanasifika sana kwa kucheza ngoma ya mdundiko pale mtaani kwao chemchem yaani ndoa bila mabinti wa hii familia kuwepo hainogi, alipa bahati mbaya ya kupewa mimba ya utotoni akiwa darasa la saba na muuza mitumba maarufu wakati ule wa mitumba kutoka kigoma, ..elimu yake ikifuatiliwa itaibua mengi ndio maana wameachwa maana anajua kusoma na kuandika.