Munde Tambwe ni nani ?

Munde Tambwe ni nani ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Yuko wapi ? Je bado ni mbunge ? Imebidi kuomba kumfahamu zaidi , maana tetesi zinaonyesha kwamba kuna ndugu yake alidakwa na sembe pale AIRPORT , je yeye mwenyewe hakuhusika ? Elimu yake sina haja nayo lakini je alisoma wapi ? Kabla ya hivyo viti maalum alikuwa anafanya nini ? Ameolewa ? Mume wake ni nani ? Ni vema tukawafahamu viongozi wetu , nawasilisha !
 
hakuna haja ya matusi , tujulishane tu baaasi , hata watu wa ofisi ndogo lumumba mnakaribishwa .
 
Profile
0.60866600%201486011885.png

Hon. Munde Abdallah Tambwe

Member Type : Special Seats

Constituent : Special Seats

Political Party : CCM

Phone : +255759808080

P.O Box : P.O Box 836, Tabora

Email Address : m.abdallah2@bunge.go.tz

Date of Birth : 1972-08-08

Education History :

School Name/Location Course/Degree/Award From To Level
Open University of Tanzania On going Degree Course 2015 2017 Bachelor

Dar es Salaam School of Accountancy- Diploma in Higher Government Accounting 2001 2002 -Diploma
Mirambo Secondary School- CSEE -2008- 2008

Isike Primary School CPEE 1979 1985 Primary School

Employment History :

Company/Institution Position From To
Tabora Municipality Director- Accounts Assistant II 1994 2009

Political Experience :

Political Party Position From To
Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2015 2020
Local Authorities Accounts Committee of the Parliament Member of the Committee 2013 2015
Chama cha Mapinduzi Member of the National Executive Council 2011 2011
Minerals and Energy Committee of the Parliament Member of the Committee 2010 2013
Parliament of Tanzania Member of the Parliament 2010 2015
Chama cha Mapinduzi Member of the National General Council of CCM Women Wing 2007 2007
Chama cha Mapinduzi Member of the District Political Committee 2007 2007
Chama cha Mapinduzi Youth Mobilizer 2002 2002
 
NI mtoto wa mbunge wa viti maalum wa Tabora enzi za baba wa taifa marehemu Mosi Tambwe, Munde alisoma isike na alikuwa mchezaji wa breack dance mzuri sana enzi hizo pale Tabora hotel na mwana isungu club, alikuwa mmoja kati ya mabinti wengi wa mzee Tambwe waliokuwa wanasifika sana kwa kucheza ngoma ya mdundiko pale mtaani kwao chemchem yaani ndoa bila mabinti wa hii familia kuwepo hainogi, alipa bahati mbaya ya kupewa mimba ya utotoni akiwa darasa la saba na muuza mitumba maarufu wakati ule wa mitumba kutoka kigoma, ..elimu yake ikifuatiliwa itaibua mengi ndio maana wameachwa maana anajua kusoma na kuandika.
 
Aiseei!!! Kweli dunia duara, kutoka kucheza mdundiko mtaani hadi ubunge kweli tuna bunge imara sana namna hii!! Maana mcheza ngoma hufuata mdundo si matakwa yake!!
 
Ni kati ya wabunge bora kabisa wale watatu wa ccm waliopewa Magari ya wagonjwa majimboni mwao ! Nikajiuliza Munde naye ana jimbo ?
 
NI mtoto wa mbunge wa viti maalum wa Tabora enzi za baba wa taifa marehemu Mosi Tambwe, Munde alisoma isike na alikuwa mchezaji wa breack dance mzuri sana enzi hizo pale Tabora hotel na mwana isungu club, alikuwa mmoja kati ya mabinti wengi wa mzee Tambwe waliokuwa wanasifika sana kwa kucheza ngoma ya mdundiko pale mtaani kwao chemchem yaani ndoa bila mabinti wa hii familia kuwepo hainogi, alipa bahati mbaya ya kupewa mimba ya utotoni akiwa darasa la saba na muuza mitumba maarufu wakati ule wa mitumba kutoka kigoma, ..elimu yake ikifuatiliwa itaibua mengi ndio maana wameachwa maana anajua kusoma na kuandika.
Mtatuua chamani na vicheko.
 
Muuza Mitumba kutia Mimba Mtoto wa Mbunge ni jambo la ujasiri sana!

Itakuwa alikuwa anamuuzia Nguo za ndani zile Kama uzi [emoji12][emoji12][emoji12]

Assalaam alaykum Muuza Mitumba ( in Kibondes Voice)
 
Si mchezo... Naamini muuza mitumba hii leo anajinadi aliko "mnamuona yule mheshimiwa? ........." Iko siku anaweza kukwea mpaka nafasi za juu zaidi je muuza mitumba akimwambia ikiwa hatatimiza matakwa yake atatoa siri haitokuwa kama yule mmama wa Korea?
 
DAA DIPLOMA ya accounts ilimfuata akiwa tiari ni account assistant ?nimeona tangu 1994 ameanza kazi hiyo lakini darasa kaanza 2001
Ndio maana mheshimiwa kairuki kasema awajaguswa wanasiasa lakini kwa maelezo yako mkuu kuna sehemu kunatia shaka(wasi wasi juu ya elimu ya uyu mheshimiwa)
 
msichokonoe mambo! waziri mwenyewe kagwaya!! Wanasiasa!!!
 
Muuza Mitumba kutia Mimba Mtoto wa Mbunge ni jambo la ujasiri sana!

Itakuwa alikuwa anamuuzia Nguo za ndani zile Kama uzi [emoji12][emoji12][emoji12]

Assalaam alaykum Muuza Mitumba ( in Kibondes Voice)
Aaaahaah! mkuu wabunge enzi za mwalimu walikuwa hawana mbwembwe kama hawa wa sasa na ukizingatia wabunge tulikuwa tunakaa nao uswahilini tu wala watoto wao hawakuwa adimu, halafu wauza mitumba wa 90" walikuwa ndio mabraza men maana wanatupia jins, raba kali na hela ya soda ilikuwa haiwapigi chenga, yaani walikuwa wanaonekana WATU kama wauza unga walivyo sasa.
 
DAA DIPLOMA ya accounts ilimfuata akiwa tiari ni account assistant ?nimeona tangu 1994 ameanza kazi hiyo lakini darasa kaanza 2001
Umeona eee mkuu, ndio maana nimesema mimi elimu yake ikichimbuliwa ni utata mtupu itaibua mengi, acha wapewe magari wapeleke majimboni wafunge watu midomo ya kuhoji hoji.
 
Back
Top Bottom