mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Hata nikiwekewa kisu na bastola za Police CCM kutaka kuniuwa, bado nitasimamia ukweli wangu kwamba, siitaki ccm maisha yangu yote yaliyobaki
CCM wamekataliwa duniani na sasa ni Mungu kuudhirisha ukuu wake juu ya hilo
Kila wanachobuni wafanye, wanaumbuka kabla hata hawajafika mbali
CCM shikeni hili, Mnadaiwa damu nyingi sana za Watanzania
Mmedhulumu uhai na haki za Watanzania wengi si vijana na hata wazee, si wanaume na hata Wanawake mpaka watoto wadogo
Kazi ya wapenda Haki ni kuwalaani na kuwaombea kila mabaya yawapate popote pale CCM mlipo
Mwisho!
Walionyuma ya Haki ni mamilioni ya Watanzania , hao machawa wa CCM ni wajinga wachache sana ambao wanatumikishwa na njaa pamoja na umasikini wa fikra, hawa wataelewa baada ya Mungu na wapenda haki wake kuikomboa nchi hii