Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11).

2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17).

3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13).

4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1).

5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27)

6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27).

7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33)

8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8).

9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23).

10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23).

11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23).

Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6: 2).
 
Kinachonishangaza ni watu kudhani Bible ndio reference ya kila Kitu!
 
Naona watu ni wepesi sana akilini hasa baada ya kuondokewa mpendwa wetu Bulldozer. Hakuna hapa palipoandikwa: JIFUNZE KUNYAMAZA ^CAR-BEE-SIR^ but only, JIFUNZE KUNYAMAZA. It means, KUNA WAKATI wa kunyamza, kama alivyoelezea huyu mbunge wetu hapa.

NB: Not always do mere words solve problems. It is then that silence do.
 
1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11).

2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17).

3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13).

4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1).

5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27)

6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27).

7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33)

8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8).

9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23).

10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23).

11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23).

Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6: 2).
 
Ni kweli kabisa kinywa huponza, kinywa chako huweza kukuangamiza were mwenyewe,pia huweza kukuua wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom