Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Asante sana Mshana.
Kwa mara ya kwanza kabisa unaandika vitu vyenye maana1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11).
2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17).
3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13).
4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1).
5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27)
6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27).
7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33)
8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8).
9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23).
10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23).
11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23).
Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6: 2).
kwa mara ya kwanza???Kwa mara ya kwanza kabisa unaandika vitu vyenye maana
😍😍1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11).
2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17).
3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13).
4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1).
5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27)
6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27).
7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33)
8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8).
9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23).
10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23).
11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23).
Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6: 2).
Amina mkuu barikiwa sana[emoji120][emoji120]Mungu akubariki sana Mkuu umenikumbusha kurudi tena kukipitia hichi kitabu (Mithali) hakika kuna Hekima nyng ndani yake na ya kujifunza mengi mazuri
[emoji120][emoji120][emoji120]Maneno ya hekima sana haya nimejifunza kitu hapa.
Umemaliza?Dogo mimi sio size yako, tulia utakimbia jukwaa au utahamia Upinzani, mark my word
None sense.Nyamaza CCM wasomi na CCM mbumbumbu wakitwangana.
Nyamaza CCM Mwendazake na CCM Sasha wakiparurana.
Ukisema Jambo wataungana, dawa ni kukaa kimyaaaaa