Mungu alimuandaa Rais Samia kuwa Rais ndiyo maana amewahi kusema hadharani kuwa yeye hana mpango wa kwenda kugombea Urais wa Zanzibar 2020

Usimsingizie Mungu,Samia kawekwa hapo na Katiba.

Tunataka Katiba BORA Mpya.
 
Mtu unaitwa Lucas, unamtaja Mungu kwenye kumchagua mtu anaitwa Samia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…