Mungu alimuandaa Rais Samia kuwa Rais ndiyo maana amewahi kusema hadharani kuwa yeye hana mpango wa kwenda kugombea Urais wa Zanzibar 2020

Usimsingizie Mungu,Samia kawekwa hapo na Katiba.

Tunataka Katiba BORA Mpya.
 
Back
Top Bottom