Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

Mkuu even wewe ni mtumishi na Bible ikisema askofu is iende nayo moja kwa moja kuwa ni askofu Hiyo ni lugha ya picha.
1wakolintho 7:2
Nakubaliana na wewe kwenye "Lugha ya picha" vp kuhusu Mapadri and Masisters au hapo hiyo lugha ya picha haifanyi kazi na badala yake tunatumia lugha ya video?
 
Wazungu wanatamani hata muda urudi nyuma wakabadilishe maandiko kwenye biblia
 
Nakubaliana na wewe kwenye "Lugha ya picha" vp kuhusu Mapadri and Masisters au hapo hiyo lugha ya picha haifanyi kazi na badala yake tunatumia lugha ya video?
Padri na Masisters wamekuwa mentioned wapi au una unasoma Nipashe ?
 
Siyo lazima ufuate masuala ya dini yoyote unaweza kuamua hata kuwa mpagani ukaoa wanawake hata ishirini kadri moyo wako unavyoona inaridhisha.
Usitafute visingizio huku
 
si kila uambiwacho ni sahihi, oa hata mia kama una uwezo wa kuwatunza kwan wengine hawana uwezo wa kumtumza hata huyo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…