Mungu anachukia wanandoa kuachana

Mungu anachukia wanandoa kuachana

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana.

Sasa ndugu zangu Mungu hapendi hali hiyo pamoja na watumishi wake kuruhusu iwe kwa talaka au pasipo talaka. Watanzania pazeni sauti zenu MUNGU HAPENDI KUACHANA!
 
Back
Top Bottom