Mungu anaendelea kuwaumbua, Vanessa Mdee atajwa sakata la Unga

Mungu anaendelea kuwaumbua, Vanessa Mdee atajwa sakata la Unga

Kuna askari wengine wamepokea bil 1 wiki hii na wanaishi kwa raha mustarehe: Makonda
Chanzo chanel 10
 
jux hawezi kuwa salama, demu wake alikamatwa China, halafu kila siku yeye anasoma tuu huko China degree huu mwaka Wa 7 hamalizi tuu degree gani hiyo ya miaka mingi hivyo, nahis v money Kaitwa kutoa details za huyu jamaa
ANASOMA degree?? mmmmmh degree ya mziki au?? vipi matokeo yake ya form four hivi alipata cheti kule happy skill ful tabats segerea??
 
Huyu binti..hebu ngoja, yeye anatumia au?

Na yule jux "girlfriend" wake si amefungwa china kama inavyodaiwa ni kwa madawa haya haya??

Salama ya jux ni ipi??
Hata mwenyewe nashangaa salama ya Jux,
Labda itakuwa ni uzushi na chuki ya binadamu juu yake lakini ngoja tutazame hii sinema inakoelekea, hatuwezi Juwa mambo yalijificha zaiidi.

Labda msemo huu unawezakutumika!
"Mafanikio huambatana na Chuki"

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
jux hawezi kuwa salama, demu wake alikamatwa China, halafu kila siku yeye anasoma tuu huko China degree huu mwaka Wa 7 hamalizi tuu degree gani hiyo ya miaka mingi hivyo, nahis v money Kaitwa kutoa details za huyu jamaa
Jux aliulizwa mbona hawajawahi kuji-selfie akiwa class huko China na kupost kwenye pages zake ?
Akajibu eti yeye sio mtu wa show off [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Jux aliulizwa mbona hawajawahi kuji-selfie akiwa class huko China na kupost kwenye pages zake ?
Akajibu eti yeye sio mtu wa show off [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Huyu akamatwe! Sio mtu wa show off..mbona anapiga mapicha tele??
 
Kwani ninyi mmegeuka vuvuzela la mahakama? Unampaje mtu kashfa kubwa namna hii bila kujua impact ya kashfa hiyo kijamii? Pambaffffff!
Ni kweli hapa naona hata watu hawajui kutofautisha kati ya Tuhuma na hukumu.
 
Hili suala kisheria limekaaje?
Mkuu hata mimi cjaelewa mala ya kwanza nilizani ni wauzaji hawa kumbe eti ni watumiaji!! Sasa kama ni watumiaji mbona hata kwenye ma sober house wamejaa au mimi ndio sielewi!!! Hizi case mahakamani zitafika kweli? Hapa bwana kuna kiji upepo fulani kinasubiliwa kipite hivi kwanza, then maisha yaendelee
 
siku mbili hizi sigombani na teja asije akanichomesha kuwa anachukua ngada kwangu bure
 
Acheni upumbavu, hakuna sheria ya kumhukumu mtu bila kupeleka kesi mahakamani na kuwa na ushahidi wa kutosha!
Unahisi amehukumiwa! Umetumia neno kali "upumbavu" pasipo kuwa na uelewa. Watajwa wametuhumiwa, mtu kuitwa kuhojiwa sio "amehukumiwa", yawezekana ameitwa kutoa maelezo ya namna ambavyo anahusika, uelewa alionao kuhusiana na jambo husika ama hata kuwa msaada kuwapata wahusika. Hakuna aliyehukumu hapo, wala aliyehukumiwa. Elimika, "sijui nani ni mpumbavu".
 
Back
Top Bottom