Mahakama haituhumu mtu kazi ya mahakama ni kumtia hatiani mtuhumiwa au kumwacha huru dhidi ya tuhuma alizokuwa nazoAcheni upumbavu, hakuna sheria ya kumhukumu mtu bila kupeleka kesi mahakamani na kuwa na ushahidi wa kutosha!
Kwani ninyi mmegeuka vuvuzela la mahakama? Unampaje mtu kashfa kubwa namna hii bila kujua impact ya kashfa hiyo kijamii? Pambaffffff!Mahakama haituhumu mtu kazi ya mahakama ni kumtia hatiani mtuhumiwa au kumwacha huru dhidi ya tuhuma alizokuwa nazo
ANASOMA degree?? mmmmmh degree ya mziki au?? vipi matokeo yake ya form four hivi alipata cheti kule happy skill ful tabats segerea??jux hawezi kuwa salama, demu wake alikamatwa China, halafu kila siku yeye anasoma tuu huko China degree huu mwaka Wa 7 hamalizi tuu degree gani hiyo ya miaka mingi hivyo, nahis v money Kaitwa kutoa details za huyu jamaa
Hata mwenyewe nashangaa salama ya Jux,Huyu binti..hebu ngoja, yeye anatumia au?
Na yule jux "girlfriend" wake si amefungwa china kama inavyodaiwa ni kwa madawa haya haya??
Salama ya jux ni ipi??
Jux aliulizwa mbona hawajawahi kuji-selfie akiwa class huko China na kupost kwenye pages zake ?jux hawezi kuwa salama, demu wake alikamatwa China, halafu kila siku yeye anasoma tuu huko China degree huu mwaka Wa 7 hamalizi tuu degree gani hiyo ya miaka mingi hivyo, nahis v money Kaitwa kutoa details za huyu jamaa
Huyu akamatwe! Sio mtu wa show off..mbona anapiga mapicha tele??Jux aliulizwa mbona hawajawahi kuji-selfie akiwa class huko China na kupost kwenye pages zake ?
Akajibu eti yeye sio mtu wa show off [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Lipi?Hili suala kisheria limekaaje?
Ni kweli hapa naona hata watu hawajui kutofautisha kati ya Tuhuma na hukumu.Kwani ninyi mmegeuka vuvuzela la mahakama? Unampaje mtu kashfa kubwa namna hii bila kujua impact ya kashfa hiyo kijamii? Pambaffffff!
Mkuu hata mimi cjaelewa mala ya kwanza nilizani ni wauzaji hawa kumbe eti ni watumiaji!! Sasa kama ni watumiaji mbona hata kwenye ma sober house wamejaa au mimi ndio sielewi!!! Hizi case mahakamani zitafika kweli? Hapa bwana kuna kiji upepo fulani kinasubiliwa kipite hivi kwanza, then maisha yaendeleeHili suala kisheria limekaaje?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu hiyo picha ako na status nimecheka sanaTunataka mapapa
Usibeze, hujui ulisemalo kaa kimya.. kila kitu mna pinga, we umeshaambiwa strategy ya makonda ni gani? TuliaShida ni kuwa vigogo wanaachwa vidagaa wanatajwaa
Unahisi amehukumiwa! Umetumia neno kali "upumbavu" pasipo kuwa na uelewa. Watajwa wametuhumiwa, mtu kuitwa kuhojiwa sio "amehukumiwa", yawezekana ameitwa kutoa maelezo ya namna ambavyo anahusika, uelewa alionao kuhusiana na jambo husika ama hata kuwa msaada kuwapata wahusika. Hakuna aliyehukumu hapo, wala aliyehukumiwa. Elimika, "sijui nani ni mpumbavu".Acheni upumbavu, hakuna sheria ya kumhukumu mtu bila kupeleka kesi mahakamani na kuwa na ushahidi wa kutosha!
Kama unaweza katusaidie kuwakamataTunataka mapapa