Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Ndio maana kile kitabu kinaitwa HesabuYaani anaingiza kila kitu kinachomhusu mtu huyo kwenye formula kisha anapata jibu kuwa kesho Absalomu mwana wa Daudi atakufa kwa kunaswa kwenye mti. Hafanyi miujiza, anafanya hesabu. "Miujiza" inawezekana bila sayansi?
Thibitisha huyo Mungu yupo kwanza.Kuna stori kuwa Columbus alipokuwa anaondoka kisiwa fulani huko Amerika aliwaambia wenyeji wampe chakula cha safari. Wakagoma. Akasema mkigoma kesho nitafanya miujiza. Nitautia mwezi giza. Kweli kesho yake mwezi uliingiwa giza. Wenyeji wakamsujudu Columbus na mumpa chakula. Waliona miujiza mtu kuutia mwezi giza. Lakini Columbus alitumia sayansi. Alijua habari za kupatwa kwa mwezi na mzunguko wake.
Binadamu anaweza kurusha mzinga na ukaenda kutua sehemu anayotaka. Anangalia umbali alipo adui, spidi ya mzinga, joto, mgandamizo wa hewa, spidi ya upepo nk. Anaingiza yote haya(Variables)kwenye formula na kupata angle anayopaswa kuweka mzinga wake. Na kweli mzinga unaenda kutua alipopanga.
Si Mungu naye anapotabiri mambo hutumia formula kama hiyo. Anapotabiri mfano kifo anaingiza mabilioni ya variables kumhusu mtu huyo kwenye formula. Alichokula, mawazo yake(Brain waves) maneno anayoongea, afya yake, watu wanaomzunguka, hali ya hewa. . . Yaani anaingiza kila kitu kinachomhusu mtu huyo kwenye formula kisha anapata jibu kuwa kesho Absalomu mwana wa Daudi atakufa kwa kunaswa kwenye mti. Hafanyi miujiza, anafanya hesabu. "Miujiza" inawezekana bila sayansi?
Mungu yupo wewe acha uendawazimuMungu hayupo.
Hakuna miujiza.
Sayansi haina uhusiano wowote ule na Mungu au miujiza.
Katika kumanipulate matter huko anafuata kanuni za sayansi?Mungu ni zaidi ya Science
Anauwezo wa ku control chochote na ni creative
Mfano mdogo hapa duniani kuna mimea ya aina nyingi sana
Hayo kisa kusema Neno
Tu Ardhi itoe mimea
Na Ardhi ikatoa
Anachosema vitu vinatii
He manipulates matter
Ulimwengu haupo shaghalanghala. Unafuata kanuni za kisayansi ambazo ndiyo kwanza tumeanza kuzigundua. Hii haionyeshi kuwa aliyeutengeneza alikuwa anafuata kanuni za kisayansi?He does what he likes.those formula obey him to the fullest
Mpangilio wa ulimwengu unaonyesha kuwa Kuna nguvu inayojitambua imehusika kupanga.Thibitisha huyo Mungu yupo kwanza.
Kuna stori kuwa Columbus alipokuwa anaondoka kisiwa fulani huko Amerika aliwaambia wenyeji wampe chakula cha safari. Wakagoma. Akasema mkigoma kesho nitafanya miujiza. Nitautia mwezi giza. Kweli kesho yake mwezi uliingiwa giza. Wenyeji wakamsujudu Columbus na kumpa chakula. Waliona miujiza mtu kuutia mwezi giza. Lakini Columbus alitumia sayansi. Alijua habari za kupatwa kwa mwezi na mzunguko wake.
Binadamu anaweza kurusha mzinga na ukaenda kutua sehemu anayotaka. Anaangalia umbali alipo adui, spidi ya mzinga, joto, mgandamizo wa hewa, spidi ya upepo nk. Anaingiza yote haya(Variables)kwenye formula na kupata angle anayopaswa kuweka mzinga wake. Na kweli mzinga unaenda kutua alipopanga.
Si Mungu naye anapotabiri mambo hutumia formula kama hiyo. Anapotabiri mfano kifo anaingiza mabilioni ya variables kumhusu mtu huyo kwenye formula. Alichokula, mawazo yake(Brain waves) maneno anayoongea, afya yake, watu wanaomzunguka, hali ya hewa. . . Yaani anaingiza kila kitu kinachomhusu mtu huyo kwenye formula kisha anapata jibu kuwa kesho Absalomu mwana wa Daudi atakufa kwa kunaswa kwenye mti. Hafanyi miujiza, anafanya hesabu. "Miujiza" inawezekana bila sayansi?
NdioKatika kumanipulate matter huko anafuata kanuni za sayansi?
Mpangilio gani? Unajuaje ni mpangilio na si anthropic bias/ anthropic principle tu? Nguvu gani? Unajuaje inajitambua? Unajuaje imehusika kupanga?Mpangilio wa ulimwengu unaonyesha kuwa Kuna nguvu inayojitambua imehusika kupanga.
Siyo kwamba "kupaa," na kutembea juu ya maji na kuduplicate samaki na mikate kulitumia sayansi ambayo hatuijui bado? Kwa watu wa kale sayansi iliyopo Leo kwao ni miujiza mikubwa.Ndio
Vya kiroho ili vije kimwili kwa kimwili zinatumia kanuni za kisanyansi
Na pia kanuni za kiroho zinaweza zikavunja kanuni za kisanyansi
Mfano Yesu alipaa , alitembea Juu ya maji (Jaribu kutembea juu ya maji utaniambia)
Samak 2 na mikate 5 kulisha maelfu ya watu
Si sayansi inasema anthropy inaegemea kwenye disorder. Bila nguvu ya kuweka mambo sawa ulimwengu ungekuwa shaghalabaghala. Ila siku zote vitu na viumbe vimepangika vyema.Mpangilio gani? Unajuaje ni mpangilio na si anthropic bias/ anthropic principle tu? Nguvu gani? Unajuaje inajitambua? Unajuaje imehusika kupanga?
Kama kila kilicho na order kinahitaji kupangwa, unaelewa kuwa, ujiondoa special pleading fallacy, hiyo ni hoja ya kwamba Mungu mpanga vyote hawezi kuwepo?
Kama kila chenye order kinatakiwa kuwa na mpangaji hiyo maana yake Mungu hawezi kuwepo.Si sayansi inasema anthropy inaegemea kwenye disorder. Bila nguvu ya kuweka mambo sawa ulimwengu ungekuwa shaghalabaghala. Ila siku zote vitu na viumbe vimepangika vyema.
Utasema Mungu mpanga vyote naye alitakiwa kupangwa, aliyempanga naye alitakiwa kupangwa. . . Hatuijui yalivyoanza. Ila ushahidi unaonyesha mambo haya yamepangwa vyema na nguvu inayojitambua. Kama ambavyo tukiona gari tunafahamu kuwa limepangwa vyema na kiumbe kinachojitambua.