Unajuaje kuwa ushahidi huo unatosha kutufanya tuamini kuwa ulimwengu na sisi tumeumbwa? Threshold ni ipi? Kwa nini unataja habari ya kuamini wakati kuamini ni kitu subjective?Nimesema ushahidi unaonyesha(sikumbuki kusema lazima) vitu tata huwa vimeumbwa. Lakini ushahidi huu haufai kuelezea chanzo cha Mungu ambaye tunasema hajaumbwa na mwanzo wa vitu vyote. Inafanana na ulivyosema. Kanuni za Newton haziwezi kuelezea Relativistic Speed.
Ushahidi huo unatosha kutuaminisha kuwa ulimwengu na sisi tumeumbwa. Tutakapokuja kwa muumbaji ushahidi huu hauwezi kufanya kazi kama ambavyo kanuni za Newton zinavyokwama kuelezea Quantum Mechanics. Lakini haimaanishi hazifai. Wala ushahidi wetu kushindwa kufafanua uwepo wa Mungu haimaanishi haufai.
Waamini Mungu hatusemi tunajua kila kitu kumhusu. Amesema njia zake hazichunguziki. Tunaamini tu.
Ni suala la imani. Watu tofauti wanahitaji kiwango tofauti tofauti cha ushahidi kuamini jambo.Unajuaje kuwa ushahidi huo unatosha kutufanya tuamini kuwa ulimwengu na sisi tumeumbwa? Threshold ni ipi? Kwa nini unataja habari ya kuamini wakati kuamini ni kitu subjective?
Na kama ulimwengu na sisi tumeumbwa, kwa nini unaunganisha moja kwa moja sisi kuumbwa na Mungu kuwapo?
Huoni kuwa kurukia habari ya Mungu kwa sababu inaonekana tumeumbwa bila kujua tumeumbwaje ni logical non sequitur fallacy, kwamba unakimbilia conclusion ya kuwa tumeumbwa na Mungu wakati hata kama tumeumbwa, inawezekana hatujaumbwa na Mungu?
Kama kilicho tata ni lazima kiwe kimeumbwa, huoni kuwa hiyo kanuni inakataza kuwepo kwa Mugu tata ambaye hajaumbwa?
Ingefaa ufafanue:Binadamu anaweza kurusha mzinga na ukaenda kutua sehemu anayotaka. Anaangalia umbali alipo adui, spidi ya mzinga, joto, mgandamizo wa hewa, spidi ya upepo nk. Anaingiza yote haya(Variables)kwenye formula na kupata angle anayopaswa kuweka mzinga wake. Na kweli mzinga unaenda kutua alipopanga.
Si Mungu naye anapotabiri mambo hutumia formula kama hiyo. Anapotabiri mfano kifo anaingiza mabilioni ya variables kumhusu mtu huyo kwenye formula. Alichokula, mawazo yake(Brain waves) maneno
MmmhKuna stori kuwa Columbus alipokuwa anaondoka kisiwa fulani huko Amerika aliwaambia wenyeji wampe chakula cha safari. Wakagoma. Akasema mkigoma kesho nitafanya miujiza. Nitautia mwezi giza. Kweli kesho yake mwezi uliingiwa giza. Wenyeji wakamsujudu Columbus na kumpa chakula. Waliona miujiza mtu kuutia mwezi giza. Lakini Columbus alitumia sayansi. Alijua habari za kupatwa kwa mwezi na mzunguko wake.
Binadamu anaweza kurusha mzinga na ukaenda kutua sehemu anayotaka. Anaangalia umbali alipo adui, spidi ya mzinga, joto, mgandamizo wa hewa, spidi ya upepo nk. Anaingiza yote haya(Variables)kwenye formula na kupata angle anayopaswa kuweka mzinga wake. Na kweli mzinga unaenda kutua alipopanga.
Si Mungu naye anapotabiri mambo hutumia formula kama hiyo. Anapotabiri mfano kifo anaingiza mabilioni ya variables kumhusu mtu huyo kwenye formula. Alichokula, mawazo yake(Brain waves) maneno anayoongea, afya yake, watu wanaomzunguka, hali ya hewa. . . Yaani anaingiza kila kitu kinachomhusu mtu huyo kwenye formula kisha anapata jibu kuwa kesho Absalomu mwana wa Daudi atakufa kwa kunaswa kwenye mti. Hafanyi miujiza, anafanya hesabu. "Miujiza" inawezekana bila sayansi?
Imani ni irrelevant katika facts.Ni suala la imani. Watu tofauti wanahitaji kiwango tofauti tofauti cha ushahidi kuamini jambo.
Tunaamini creator=Mungu.
Sijasema kilicho tata lazima kiwe kimeumbwa. Nimesema ushahidi kuwa vitu tata huumbwa ni ushahidi tosha kutuaminisha/kuniaminisha kuwa ulimwengu na viumbe vimeumbwa. Ushahidi huu haufanyi kazi linapokuja suala la kumuelezea Mungu. Umeongea huko juu. Kanuni hazifanyi kazi kwenye kila domain.
Hapa kiongozi ulivyosema hoja ni subjective upo sahihi sana. Hoja za kiimani ni ngumu kuzithibitisha isipokuwa mtu abaki kwenye misingi ya anachoamini kuwa ni sahihi. Mfano hata kwenye Maandiko MUNGU halazimishi mtu amuamini au amfuate, la hasha!.(MUNGU hataki walio vuguvugu.(kwa wenye imani ya kuamini uwepo wake).Unajuaje kuwa ushahidi huo unatosha kutufanya tuamini kuwa ulimwengu na sisi tumeumbwa? Threshold ni ipi? Kwa nini unataja habari ya kuamini wakati kuamini ni kitu subjective?
Na kama ulimwengu na sisi tumeumbwa, kwa nini unaunganisha moja kwa moja sisi kuumbwa na Mungu kuwapo?
Huoni kuwa kurukia habari ya Mungu kwa sababu inaonekana tumeumbwa bila kujua tumeumbwaje ni logical non sequitur fallacy, kwamba unakimbilia conclusion ya kuwa tumeumbwa na Mungu wakati hata kama tumeumbwa, inawezekana hatujaumbwa na Mungu?
Kama kilicho tata ni lazima kiwe kimeumbwa, huoni kuwa hiyo kanuni inakataza kuwepo kwa Mugu tata ambaye hajaumbwa?
Ha
Hapa kiongozi ulivyosema hoja ni subjective upo sahihi sana. Hoja za kiimani ni ngumu kuzithibitisha isipokuwa mtu abaki kwenye misingi ya anachoamini kuwa ni sahihi. Mfano hata kwenye Maandiko MUNGU halazimishi mtu amuamini au amfuate, la hasha!.(MUNGU hataki walio vuguvugu.(kwa wenye imani ya kuamini uwepo wake).
Hapa ukindelea kujiuliza maswali mengi ni huwezi pata majibu yatakayokuridhisha maana ni hayapo(Labda kiroho ambapo IMANI itahitajika tena- kitu ambacho huwezi thibitisha tena...hivyo kitategemea maoni binafsi mwisho ambayo yatairudisha hoja yako kwenye A kutoka Z.
SASA.
Kukujaribu kukuchallenge naweza kuuliza baadhi ya maswali ambayo bado yatarudi kwenye imani😅
1. Unaamini uchawi/ulozi upo?? Au ushawahi kuona mtu aliorogwa?? Ama kurogwa??
Ama Kuhisi kitu cha ushirikina kutoka kwa watu wako wa karibu au mtu yoyote ambaye wewe binafsi ulikiri kuwa kuna nguvu isiyo ya kawaida imehusika hapa...
Kama jibu ni NDIO. Umeshawahi waza chanzo mama cha ushirikina(hiyo source kama unavyohoji kuhusu MUNGU).
2. Pia kwa wakazi wa maeneo yanayoamini hizo mambo za MIUNGU(gods)
Umeshawahi kaa nao karibu ukauliza kama ni kweli wanachokiamini kinanguvu au kinawasikiliza.??
Kama jibu ni NDIO/ama unahisi HIVYO japo bado hukubaliani nao...
Je??
Hiyo miungu nguvu inatoa wapi???
Au ushawahi simuliwa source ya nguvu za miungu fulani??
Kama jibu ni NDIO basi sawa...lakini kama jibu ni HAPANA jaribu kuwaza... Kwanini hujawahi ambiwa source za Miungu hiyo lakini una amini kama IPO na inanguvu??
Haijalishi nani alisambaza hizo nguvu...
Je ni nani au asili ya hizo nguvu ni wapi??
Nini kilitenengeneza hizo nguvu??
Nani alikitengeneza??
(Japo haya yatakuja kama ukiamini kuwa zipo japo inawezekana usizisisadiiki).
Hivyo basi kama ilivyo ngumu kuthibitisha hayo mambo basi ndivyo ilivyongumu...
Kuthibitisha doughts zako.....
Japokuwa zinalogic.
Sasa ndio waza kwa wanaoamini kwenye MUNGU sasa.
Tunachokoseana ni kulazimishana
Maana kwenye uwepo wa Hizi nguvu
Ukiweka mbele LOGIC pekee itakuwa ni ngumu kama hauna BELEIF.
Huenda hata ukielezewa namna ye anasema hajawahi umbwa...Au ukianza kuwaza namna moyo unafanya kazi na kwanini sayansi zinashindwa kutengeneza moyo halisi kama unaoutumia ama figo etc...
Namna zinavyofanya kazi
Inaeleweka lakini,,,,kitu gani kilizifanya zianze kufanya kazi ndio hutopata majibu
zaidi ya maswali zaidi yasiyo na majibu ya moja kwa moja....
Yaani ukiwaza mashine labda ili ianze kufanya kazi inabidi SWITCH iwashwe...
je hiyo nguvu ya kuenda kuiwasha iliyokea wapi???
Na nani aliwasha??
hapa ndio unaona kuna nguvu ya ziada
Huenda ipo kwenye kufanya ukamlisho...
swali hiyo nguvu ya ziada unaweza ithibitisha??
jibu ni HAPANA.
Au fusion ya gametes mbili kuleta zygote baadae mtoto....
Ukaanza kuwaza .....mbona ni maji maji yanayoingia...
Je??
Mechanism ya mfupa inatokea wapi??
ni kweli tunaona hatua kwa hatua mfupa unapojiumba...
Je hiyo mechanism au nguvu ya kuanza kuumba huo mfupa imetokea wapi??
(Kisayansi inaelezeka lakini baada ya kitendo fulani). (Sasa nguvu ya kabla inayosema sasa..ni wakati wa mfupa..sasa ni wakati wa moyo...sijui brain...kianze hiki kifate hiki...unaweza tafakari ukapata majibu??
Lakini hata ukikataa bado....utaona bado kuna utashi wa ajabu upo hapo sio??
Lakini kuulezea ndio huwezi...
Basi waza pia kwenye MUNGU na Uwepo wake na namna ilivyongumu kuielezea SOURCE yake...kama unavyohoji.
Nadhani tulivyoumbwa Akili zetu zinaukomo wa fikra...ndio maana hata kuna mambo hata ukisema uyachunguze...hutopata majibu zaidi ya maswali zaidi ambayo hayana majibu zaidi ya maswali zaidi na zaidi.
1. Maswali kama yupo ama hayupo hapo
Ni wewe sasa..unavyochanganya (logic zako na imani zako). Maana ukisema uache kimoja huwezi fika.
LAKINI...
Yupo ndio...je Alitoka wapi??
Tutarudi kuanza kuhoji
Je ni nini kilifanya uchawi uwe uchawi??
Sijui blah blah blah....
Ni maswali magumu sana kama hayo ya uumbwaji wa binadamu kutoka kwenye mbegu.
Mimi siamini uchawi. Imani za uchawi ni ujinga tu.Ha
Hapa kiongozi ulivyosema hoja ni subjective upo sahihi sana. Hoja za kiimani ni ngumu kuzithibitisha isipokuwa mtu abaki kwenye misingi ya anachoamini kuwa ni sahihi. Mfano hata kwenye Maandiko MUNGU halazimishi mtu amuamini au amfuate, la hasha!.(MUNGU hataki walio vuguvugu.(kwa wenye imani ya kuamini uwepo wake).
Hapa ukindelea kujiuliza maswali mengi ni huwezi pata majibu yatakayokuridhisha maana ni hayapo(Labda kiroho ambapo IMANI itahitajika tena- kitu ambacho huwezi thibitisha tena...hivyo kitategemea maoni binafsi mwisho ambayo yatairudisha hoja yako kwenye A kutoka Z.
SASA.
Kukujaribu kukuchallenge naweza kuuliza baadhi ya maswali ambayo bado yatarudi kwenye imani😅
1. Unaamini uchawi/ulozi upo?? Au ushawahi kuona mtu aliorogwa?? Ama kurogwa??
Ama Kuhisi kitu cha ushirikina kutoka kwa watu wako wa karibu au mtu yoyote ambaye wewe binafsi ulikiri kuwa kuna nguvu isiyo ya kawaida imehusika hapa...
Kama jibu ni NDIO. Umeshawahi waza chanzo mama cha ushirikina(hiyo source kama unavyohoji kuhusu MUNGU).
2. Pia kwa wakazi wa maeneo yanayoamini hizo mambo za MIUNGU(gods)
Umeshawahi kaa nao karibu ukauliza kama ni kweli wanachokiamini kinanguvu au kinawasikiliza.??
Kama jibu ni NDIO/ama unahisi HIVYO japo bado hukubaliani nao...
Je??
Hiyo miungu nguvu inatoa wapi???
Au ushawahi simuliwa source ya nguvu za miungu fulani??
Kama jibu ni NDIO basi sawa...lakini kama jibu ni HAPANA jaribu kuwaza... Kwanini hujawahi ambiwa source za Miungu hiyo lakini una amini kama IPO na inanguvu??
Haijalishi nani alisambaza hizo nguvu...
Je ni nani au asili ya hizo nguvu ni wapi??
Nini kilitenengeneza hizo nguvu??
Nani alikitengeneza??
(Japo haya yatakuja kama ukiamini kuwa zipo japo inawezekana usizisisadiiki).
Hivyo basi kama ilivyo ngumu kuthibitisha hayo mambo basi ndivyo ilivyongumu...
Kuthibitisha doughts zako.....
Japokuwa zinalogic.
Sasa ndio waza kwa wanaoamini kwenye MUNGU sasa.
Tunachokoseana ni kulazimishana
Maana kwenye uwepo wa Hizi nguvu
Ukiweka mbele LOGIC pekee itakuwa ni ngumu kama hauna BELEIF.
AstrologyKuna stori kuwa Columbus alipokuwa anaondoka kisiwa fulani huko Amerika aliwaambia wenyeji wampe chakula cha safari. Wakagoma. Akasema mkigoma kesho nitafanya miujiza. Nitautia mwezi giza. Kweli kesho yake mwezi uliingiwa giza. Wenyeji wakamsujudu Columbus na kumpa chakula. Waliona miujiza mtu kuutia mwezi giza. Lakini Columbus alitumia sayansi. Alijua habari za kupatwa kwa mwezi na mzunguko wake.
Binadamu anaweza kurusha mzinga na ukaenda kutua sehemu anayotaka. Anaangalia umbali alipo adui, spidi ya mzinga, joto, mgandamizo wa hewa, spidi ya upepo nk. Anaingiza yote haya(Variables)kwenye formula na kupata angle anayopaswa kuweka mzinga wake. Na kweli mzinga unaenda kutua alipopanga.
Si Mungu naye anapotabiri mambo hutumia formula kama hiyo. Anapotabiri mfano kifo anaingiza mabilioni ya variables kumhusu mtu huyo kwenye formula. Alichokula, mawazo yake(Brain waves) maneno anayoongea, afya yake, watu wanaomzunguka, hali ya hewa. . . Yaani anaingiza kila kitu kinachomhusu mtu huyo kwenye formula kisha anapata jibu kuwa kesho Absalomu mwana wa Daudi atakufa kwa kunaswa kwenye mti. Hafanyi miujiza, anafanya hesabu. "Miujiza" inawezekana bila sayansi?
...Mungu Hana haja ya kufanya mahesabu yote hayo. Ya Nini ? Mtu kamtengeza yeye akitaka kumuondoa anamuondoa TU! Hesabu mtafanya nyinyi Kutafuta Sababu za Kifo chake, Sio yeye....!Kuna stori kuwa Columbus alipokuwa anaondoka kisiwa fulani huko Amerika aliwaambia wenyeji wampe chakula cha safari. Wakagoma. Akasema mkigoma kesho nitafanya miujiza. Nitautia mwezi giza. Kweli kesho yake mwezi uliingiwa giza. Wenyeji wakamsujudu Columbus na kumpa chakula. Waliona miujiza mtu kuutia mwezi giza. Lakini Columbus alitumia sayansi. Alijua habari za kupatwa kwa mwezi na mzunguko wake.
Binadamu anaweza kurusha mzinga na ukaenda kutua sehemu anayotaka. Anaangalia umbali alipo adui, spidi ya mzinga, joto, mgandamizo wa hewa, spidi ya upepo nk. Anaingiza yote haya(Variables)kwenye formula na kupata angle anayopaswa kuweka mzinga wake. Na kweli mzinga unaenda kutua alipopanga.
Si Mungu naye anapotabiri mambo hutumia formula kama hiyo. Anapotabiri mfano kifo anaingiza mabilioni ya variables kumhusu mtu huyo kwenye formula. Alichokula, mawazo yake(Brain waves) maneno anayoongea, afya yake, watu wanaomzunguka, hali ya hewa. . . Yaani anaingiza kila kitu kinachomhusu mtu huyo kwenye formula kisha anapata jibu kuwa kesho Absalomu mwana wa Daudi atakufa kwa kunaswa kwenye mti. Hafanyi miujiza, anafanya hesabu. "Miujiza" inawezekana bila sayansi?
ndio kabisa. Na wewe ni wewe tu, mbwa ni mbwa tu na paka ni paka tu. Hakuna aliebisha kama mungu ni mungu. Swali ni yupo?????Mungu ni Mungu tu
Kashindwe kufanya miujiza huko Gaza Palestine miaka na miaka watu wanakufa hovyo licha ya watu hao kuwa ni waumini wake ndio ataweza ktk katiba mpya !?? Uwepo wa Mungu ni fiction storyNaomba afanye miujiza ili tupate katiba mpya na TANGANYIKA ibaki mikono salama.
Kama Mungu hayupo,wewe umegundua nini hapo ulipo?Mungu hayupo.
Hakuna miujiza.
Sayansi haina uhusiano wowote ule na Mungu au miujiza.
Hawafi hovyo,wanauliwaKashindwe kufanya miujiza huko Gaza Palestine miaka na miaka watu wanakufa hovyo licha ya watu hao kuwa ni waumini wake ndio ataweza ktk katiba mpya !?? Uwepo wa Mungu ni fiction story
Mungu hayupo kwasababu uwepo wake unaotajwa ktk vitabu vinavyo muelezea na kuelezea sifa zake una contradiction nyingi nyingi tena sanaNimesema ushahidi unaonyesha(sikumbuki kusema lazima) vitu tata huwa vimeumbwa. Lakini ushahidi huu haufai kuelezea chanzo cha Mungu ambaye tunasema hajaumbwa na mwanzo wa vitu vyote. Inafanana na ulivyosema. Kanuni za Newton haziwezi kuelezea Relativistic Speed.
Ushahidi huo unatosha kutuaminisha kuwa ulimwengu na sisi tumeumbwa. Tutakapokuja kwa muumbaji ushahidi huu hauwezi kufanya kazi kama ambavyo kanuni za Newton zinavyokwama kuelezea Quantum Mechanics. Lakini haimaanishi hazifai. Wala ushahidi wetu kushindwa kufafanua uwepo wa Mungu haimaanishi haufai.
Waamini Mungu hatusemi tunajua kila kitu kumhusu. Amesema njia zake hazichunguziki. Tunaamini tu.
Kwanini asiwazuie wauajiHawafi hovyo,wanauliwa