Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

inhi hi hi,sheusi wewe yaani kweli kabisa wewe sheusi hihihi mi nalia

hongera sana cheusi kumpata mtarajiwa,by the way ukifanyiwa kitchen party na sie wanaume wa jf tutakufanyia chicken party,lazima ungare mrembo.
 
amen.
zawadi za maombi kama hizi zina thamani kuliko za masofa , magari na ticket za ndege,barikiwa sana mpendwa wangu.
 
zawadi zenu hizi za maombi zina dhamani kubwa kwangu kuliko za wale watakaoniletea zawadi za kununua kwa fedha.Ubarikiwe sana.
 
inhi hi hi,sheusi wewe yaani kweli kabisa wewe sheusi hihihi mi nalia

hongera sana cheusi kumpata mtarajiwa,by the way ukifanyiwa kitchen party na sie wanaume wa jf tutakufanyia chicken party,lazima ungare mrembo.

thanks,lazima ningare kwa sana tu .Hapo nilipobold ahadi ni deni,hiyo kyckling fest lazima uniandalie.
futa machozi jikaze ndo hivyo tena.
 
Hongera sana mpendwa.
Tupo pamoja katka maombi ili hatimaye mfikie kwenye ndoa. Mungu azidi kukutangulia..
 
Hongera sana mpendwa.
Tupo pamoja katka maombi ili hatimaye mfikie kwenye ndoa. Mungu azidi kukutangulia..
thanx Sweetlady.
nashukuru kuniweka ktk maombi,Mungu akutangulie ktk njia zako pia.Amen
 
Maendeleo vipi au kakuvua pete? tutangazie mwake mwake lini!
 
<br />
<br />
Leo ndo kikao cha kwanza cha ksend off, mitaa ya external
 
N kwel mungu anajbu maomb,hta wale wenye mapaka mapepe,vipapa,na mipapa.ukifunga kwa maombi,wanaacha.hongera bana,ila ujue pete iz nothng m nili2pa dampo.
 
Mwomba Mungu hachoki endelea kumuomba Mungu akubarikie kwenye uchumba wenu hata ndoa maana shetani naye anaguvu kama nini hasa katika tamaa. hongereni sana
 
<br />
<br />
Leo ndo kikao cha kwanza cha ksend off, mitaa ya external
Inaelekea Cheusi Mangala Anahofu kualika watu kwenye vikao Mtu mzima asije changanyikiwa na vifaa Vikali vya jf akamvua pete so Cheusi ameamua kwenda kimya kimya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…