Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

Mungu anajibu maombi,shemeji yenu kanichumbia

inhi hi hi,sheusi wewe yaani kweli kabisa wewe sheusi hihihi mi nalia

hongera sana cheusi kumpata mtarajiwa,by the way ukifanyiwa kitchen party na sie wanaume wa jf tutakufanyia chicken party,lazima ungare mrembo.

Tuombe....
Mungu baba nakuja jioni hii mbele zako, nikiwaweka vijana hawa wawili cheusi na baba cheusi mikononi mwako
Mungu baba waepushe na mabalaa yoyote, katika kipindi hiki, baba mungu tunajua hii ni mipango yako, ila tunajua pia shetani yuko kazini, baba ukafunge nguvu zote za giza, mikono yako iwe juu yao , ukawabariki watoto wako, uwape ustahimilivu , waepushe na majaribu yoyote, waepushe na mabaya yeyote baba,Mungu baba nasema haya nikiamini utatenda sawasawa na mapenzi yako, nina amini umenisikia baba, pokea maombi yangu katika jina la baba, mwana ,a roho Mtakatifu

AMEN

amen.
zawadi za maombi kama hizi zina thamani kuliko za masofa , magari na ticket za ndege,barikiwa sana mpendwa wangu.

Mungu uketie mahali pa juu palipo inuka ninaunganisha maombi haaya kama ulivyosema wakiwapo wawili wewew upo pamoja nasi ninaungana na maombi ya shantel kukutukuza wewe juu ya binti dadaetu cheusi mangala najua weewe ndie Mungu ulieumba mbingu na dunia kupitia
wewe ulisema fedha mali waume vyote ni mali yetu bwana sasa ninatangaza uvumilivu wa ndoa juu yao ninatangaza kuachiliwa kwenye
uzao sawa na Mwanzo 1:24 ulisema tuzae na kuongezeka Mungu ninalaani kila aliesema vibaya juu ya tumbo la binti huyu ninalaani kila aliesema
vibaya juu ya sehemu za shemeji yetu ninatangaza kuachili wa uzao katika jina la yesu ninakaataa utasa juu yao nazaidi ya yote ninaomba
uwasamehe dhambi zao zote walizofanya kwa kukusudia ama kutokusdia kwa kujua amakutojua wewe ni Mungu wa msamaha ulikuja dunian kukomboa waliopotea nami ninaungana na Familia zao usiku wa leo nikilaani kila ugonjwa wa visasi ulitapakaa kwenye familia mbili hizi bwana yesu wewe ni Mungu u naeona nikataa visasi juu yao ninalaani laana zote za ukoo zisiwaguse katika jina la Yesu imeandikwa ufunu 12": 11 wakamshinda kwa damu ya YESU nami usiku waleo ninatangaza damu ya YESU iliomwagika pale kalavari ikatuzunguke wote wanaonda kwenye ndoa na sie tuliokwenye ndoa Mungu ninawapatinsha na wewe sawa na walawi 17:11 Damu ya YESU inaleta upatanisho damu ya Yesu ni uhai Ninatangaza Magonjwa yakawe hadithi juu ya maisha yao...Mungu nakkukumbusha Hes 14:28 lolote tutkalosema nafsini mwetu unakwenda Kufanya nami naamini Kupitia Neno lako ukawabariki na kuwatangulia bariki vizazi hivi vilivyokuwa na binyihuyuusiku wa leo kumfariji na kumfundisha katika maisha yake mapya matarajiwa Mungu na zaidi ya Yote

ukawabariki YOYOTE ANAETAFUTA MTOTO MUNGU NINAFUNGUA MIRIJA YA UZAZI YA MAMAYULE NINATANGAZA KUONGEZEKA KWA MBEGU KWA BABA YULE NINATANGAZA NGVU JUU YA MBEGU ZA KILA MWANA JF MUNGU NINAREFUSHA ILE MIKIA INAYOKATAA KUREFUKA NINAOMBA HEKIMA KWA VIONGOZI WOTE NA WANAMEMBER WA JF WAZIDI KUSHIRIKIANA KATIKA KUTOA MANENO YENYE BARAKA KWA KILA KILICHOMO HUMU...NAOMBA KUPITIA MWANAO YESU KRISTO NA WOTE TUSEME

AMEN

zawadi zenu hizi za maombi zina dhamani kubwa kwangu kuliko za wale watakaoniletea zawadi za kununua kwa fedha.Ubarikiwe sana.

inhi hi hi,sheusi wewe yaani kweli kabisa wewe sheusi hihihi mi nalia

hongera sana cheusi kumpata mtarajiwa,by the way ukifanyiwa kitchen party na sie wanaume wa jf tutakufanyia chicken party,lazima ungare mrembo.

thanks,lazima ningare kwa sana tu .Hapo nilipobold ahadi ni deni,hiyo kyckling fest lazima uniandalie.
futa machozi jikaze ndo hivyo tena.

Hongera sana mpendwa.
Tupo pamoja katka maombi ili hatimaye mfikie kwenye ndoa. Mungu azidi kukutangulia..

Hongera sana mpendwa.
Tupo pamoja katka maombi ili hatimaye mfikie kwenye ndoa. Mungu azidi kukutangulia..
thanx Sweetlady.
nashukuru kuniweka ktk maombi,Mungu akutangulie ktk njia zako pia.Amen

Maendeleo vipi au kakuvua pete? tutangazie mwake mwake lini!

Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.

Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa wangu.

Hapa nilipo nina furaha ya ajabu,ni muda mrefu sijawahi kuwa na furaha ya kiwango cha juu namna hii.Shemeji yenu nimpendae kuliko kitu chochote hapa duniani amenifanya the happiest woman alive kwa kunivalisha pete ya uchumba.Huyu shem wenu kuna kipindi nilidhan ananipotezea muda maana kila nilikua nikimtajia mambo ya ndoa alionekana hayuko tayari.Baada ya kusubiri sana nikaamua kufunga kwa MAOMBI,nikasema Mungu kama huyu kijana siye uliyeniandalia naomba umfanye aniache nisonge mbele asinipotezee muda ila kama ndiye uliyenipangia basi naomba unipe ishara kwa yeye kunivalisha pete bila ya mim kumwambia wala kuongea lolote lenye kuhusiana na ndoa.Kwa kweli Mungu wangu is the most highest God,no one like him,i will always serve him.Ndugu zangu lengo la kuandika hapa,sio tu kuwashirikisha furaha yangu bali pia ni kuwashuhudia kwamba tumshirikishe Mungu kwenye mambo yetu yote,maana hekima zake si kama zetu.

Ashadii niandalie kitchen party.

Leo ndo kikao cha kwanza cha ksend off, mitaa ya external

N kwel mungu anajbu maomb,hta wale wenye mapaka mapepe,vipapa,na mipapa.ukifunga kwa maombi,wanaacha.hongera bana,ila ujue pete iz nothng m nili2pa dampo.

Mwomba Mungu hachoki endelea kumuomba Mungu akubarikie kwenye uchumba wenu hata ndoa maana shetani naye anaguvu kama nini hasa katika tamaa. hongereni sana

Leo ndo kikao cha kwanza cha ksend off, mitaa ya external
Inaelekea Cheusi Mangala Anahofu kualika watu kwenye vikao Mtu mzima asije changanyikiwa na vifaa Vikali vya jf akamvua pete so Cheusi ameamua kwenda kimya kimya!

Back
Top Bottom