255Gene
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 888
- 1,090
Samahani sana mkuu lakini ningependa kuzijua hizo shahidi za kuwepo kwa hiyo miungu
Hii dunia ilikuwa na mamilioni ya miungu kama vile Odin, Thor, Ra,Frey, Baal n.k.
Hiyo miungu haina tatizo maana zipo shahidi za kuwepo kwao. Lakini huyu Mungu wenu wa kwenye vitabu aliyesafirishwa kwa mashua hadi Africa ndiyo mwenye utata wa uwepo wake.
Linapoibuka swala la Mungu huwa tunam-refer huyo Mungu mnayedhania yupo maana waamini wake wanadai kuwa yeye ndiyo Mungu na hakuna kama yeye.