Mungu anasema damu haitomwagika ila ole wa anayemwaga damu

Damu
 
Haitengui kuwa atabaki kuwa Mungu na amekataza mwanadamu kumwaga damu ya mwanadamu mwenzake na yeyote amwagaye damu ya mtu kwa upanga naye damu yake itamwagwa kwa upanga.

Mbona wewe unachinja kuku uliyezifuga? We ni sawa na mfugo wake tu ila sisi sio mifugo ya Sa100 na mkwewe Mchengerwa😁😁
 
Amen
 
Mambo ya kusadikika..
Kwahiyo unataka kutuambia damu zilizomwagika miongo yote hiyo Mungu hakwepo?
 
Mgombea mmoja wa Urais ameshaanza kumwaga damu na uonevu kwa watu wasio na hatia.
NAdhani anajivunia kuzungukwa na ulinzi mkubwa wa binadam lakini ambacho amesahau ni kwamba mbele ya Mungu huo ulinzi na machawa ni takataka kabisa...Jiwe alikuwa zaidi yake, leo yuko wapi?!.
 
Nakuambia Tena wewe mpumbavu uwezi mfundisha Mungu kazi zake

Acheni kujipa utukufu wa kipumbavu

Mungu sio mama yako mwenye hasira ya kuchaniwa chupi bar

Pumbav sana machadema
Nimekusamehe: Tujifunze neno la Mungu mkuu. MITHALI 26:4. "USIMJIBU mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, Usije UKAFANANA naye". Siwezi kumtukana mama yako, maana ni mama yangu pia. Na hajui upumbavu unaoufanya huku. Barikiwa sana.
 
Someni tena
 
Naona kauli zinagongana " damu haito mwagika alafu ole wake atakaye mwaga" waliosomea haya matujuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…