Gari lipo sababu limetengenezwa, hvyo hivyo kwa nyumba nkKwanza kabiza, thibitisha huyo Mwenyezi Mungu yupo kweli na si sanamu uliloliumba mwenyewe kwenye mawazo yako.
Maana unaweza kuhoji masanamu unayoyaona, huku unaendelea kuabudu masanamu uliyoyaunda mwenyewe mawazoni.
Thibitisha Mwenyezi Mungu yupo kweli, na habari za kuwepo kwake si za kutungwa na watu tu.
Unaelewa kwamba hoja yako ya kwamba kila kilichopo kinahitaji muumba inaonesha Mungu hawezi kuwepo?Gari lipo sababu limetengenezwa, hvyo hivyo kwa nyumba nk
Je binadamu unadhani kaumbwa na nani? Nadhani utasema nature ila mbona watu watu hawaumbi watu wao? Mbona jua linazama na kuchomoza, mbona mwez upo, mbona mbingu haina nguzo na ipo juu? Najua utasema sayansi asilia.
Maudhui ya hiyo aya Mungu Amezuia Kuchonga sanamu na kuifanya hiyo sanamu ndio Mungu badala ya Mungu!Kutoka 20:4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Kutoka 20:5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Hapa ndipo penye majibu ya swali lako
Hakuna umuhimu wa kuto kuwepo maana hayana msaada wowote katika kuwasiliana na Mungu kwasababu
Mungu anaabudiwa katika Roho na kweli
Soma vizuri na uelewe kichwa cha thread cha mtoa mda uone anachouliza.Hujamuelewa mtoa mada, kuna mambo mnatakiwa muwe na ujuzi nayo kabla hamja yajengea hoja.
Mtoa mada hajaongelea sanamu ya Mungu,
Humo makanisani kuanzia anakosali mtoa mada mwenyewe kumejaa kila aina ya sanamu, kuanzia jengo analosalia lenyewe ni sanamu, mabenchi anayokalia ni sanamu, maandishi yenyewe ya kitabu anachotumia kumjua huyo Mungu (biblia) ni sanamu pia. Mambo mengi sana yanayo mzunguka mtoa mada humo kanisani kwake anakosalia na kumuabudia huyo Mungu ni sanamu, hata yeye mwenye ni kama sanamu tu mbele ya Mungu kwa sababu kaumbwa kwa sura na mfano wa Mungu hivyo mimi na wewe na mto wote ni sanamu ya Mungu.Mtoa mada hajaongelea sanamu ya Mungu, ameongelea masanamu yote kwa ujumla wake, hata liwe la ng'ombe au la yule baadhi ya watu wanaamini kuwa Mungu (Yesu), tangu kale watu waliyajaaliya masabamu sifa ya Mola, wakawa wanayaabudu kwa kuyataka msaada yaani wasaidiwe
Kwa Nyezo Yeyote Mungu Anaabudiwa..Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Pilipili usiyo ila inakuwashia nini?Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Pole sana tunajaribu kukulingania kukuepusha na ibada ya masanamu amabayo Mtume wa Mwenyezi Mungu Ibrahimu anayekubaliw na watu wote aliwakataza uma wake miaka mingi iliyopitaDunia imejaa watu wa kila aina.
Kuna ubaya gani mtu mwingine akifanya kila ambacho wewe hukipendi na hakina athari kwako?
Punguzeni kuwashwa tupu zenu.
Hayo majibu yalikuwepo kabra yenu,Mungu anataka aabudiwe tu,Yeye kama yeye bila kuchanganywa na kitu chochoteKwa Nyezo Yeyote Mungu Anaabudiwa..
Endelea na maisha yako sisi wengine tunakuona popoma tu.Pole sana tunajaribu kukulingania kukuepusha na ibada ya masanamu amabayo Mtume wa Mwenyezi Mungu Ibrahimu anayekubaliw na watu wote aliwakataza uma wake miaka mingi iliyopita
Endelea na maisha yako sisi wengine tunakuona popoma tu.
Kiswahili chenyewe hujui unakuja kuanzisha mada ambazo mwisho wa siku hakuna utakachobadilisha.
Search nyuzi kibao zilianzishwa humu kuhusu hayo "masanamu"na majibu
Kiburi cha wanadamu kwa Muumba wao ni jadi yao,tunakushauli achana na ibada ya masanamu haina tofouti na uchawiEndelea na maisha yako sisi wengine tunakuona popoma tu.
Kiswahili chenyewe hujui unakuja kuanzisha mada ambazo mwisho wa siku hakuna utakachobadilisha.
Search nyuzi kibao zilianzishwa humu kuhusu hayo "masanamu"na majibu ya wadau.
Umekaribishwa mistari ya biblia unakuja kuanzisha uzi hapa.Kiburi cha wanadamu kwa Muumba wao ni jadi yao,tunakushauli achana na ibada ya masanamu haina tofouti na uchawi
Hayana maana na inawezekana yakasaidia kupoteza utulivu wa kumwelekea Mungu kwa watu wanaokwenda ibadani bila kumjua Mungu.Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
Kuamini Mungu hayupo ni imani pia coz huwezi kuthibitisha kua hayupo,Kukataa kuwa Mungu hayupo ni kuamini kivipi?
Unaelewa hapa ni kama umesema kunyoa nywele ubaki na upara ni mtindo wa kusuka nywele pia?
Thibitisha Mungu yupo.
ww MC wa Mungu hadi umuwekee Mipaka Mungu??Hayo majibu yalikuwepo kabra yenu,Mungu anataka aabudiwe tu,Yeye kama yeye bila kuchanganywa na kitu chochote
Kuamini Mungu hayupo ni imani pia coz huwezi kuthibitisha kua hayupo,
Kingine ni kwamba wewe hata ukithibitishiwa na Dunia nzima uwepo wa Mungu huwezi kuamini,ndio maana nikakushauri kuendelea na unachokiamini,
Halafu kama watu wanamuamini Mungu na kumuabudu wewe unapata hasara gani? Kinapungua nini kwenye maisha yako?
Waache waamini uwepo wa Mungu na wewe endelea na maisha yako,kwanini unateseka kwa imani za wengine?
Alikwambia Anaabudu sanamu badala ya Mungu??Kiburi cha wanadamu kwa Muumba wao ni jadi yao,tunakushauli achana na ibada ya masanamu haina tofouti na uchawi
Thibitisha akili ipoKukataa kuwa Mungu hayupo ni kuamini kivipi?
Unaelewa hapa ni kama umesema kunyoa nywele ubaki na upara ni mtindo wa kusuka nywele pia?
Thibitisha Mungu yupo.
Nimesha elezea maana ya imani ila,pia nimekusoma sana humu unapinga uwepo wa Mungu bila wewe kuthibitisha kua Mungu hayupo,Unathibitisha vipi kwamba siwezi kuthibitisha Mungu hayupo kabla hata hujaniuliza nithibitishe Mungu hayupo?
Nikithibitishiwa Mungu yupo kwa nini nihitaji kuamini?
Unaelewa penye uthibitisho hapahitaji imani?
Unaelewa hata maana ya haya maneno "uthibitisho" na "imani" au unayatumia tu?
Unaniuliza watu wakila mavi kwa kuamini kwamba ni dawa ya Covid-19 mimi napungukiwa nini katika maisha yangu? Wakati watu hawa wanasambaza kipindupindu dunia nzima?
Hata kama akili haipo, hilo halithibitishi Mungu yupo.Thibitisha akili ipo
Hoja za namna hii siku hizi hazifanyi kazi jaribu kuangalia wenzako waliokuwa wazoefu na mijadala kama hii kama wana shuhulika na mtindo wa aina hii ya hojaGari lipo sababu limetengenezwa, hvyo hivyo kwa nyumba nk
Je binadamu unadhani kaumbwa na nani? Nadhani utasema nature ila mbona watu watu hawaumbi watu wao? Mbona jua linazama na kuchomoza, mbona mwez upo, mbona mbingu haina nguzo na ipo juu? Najua utasema sayansi asilia.