Naamini kila alichokiumba Mungu ni sahihi na kakiumba hivyo kwa sababu yake na Mungu hakufanya kosa hata kidogo, pamoja na ukweli huo bado wanadamu tumejifanya wajuaji, unakuta wadada wanajichubua kutoboa pua kana kwamba Mungu hakujua hapo wanapopatoboa panahitaji kutobolewa.
Turudi kwenye hoja ya msingi, mimi kama binadamu nina mapungufu yangu, si kuwa nampinga Mungu lakini am just curious, kuwa Mungu angekuomba ushauri juu ya mpangilio au munekano wa viungo vya mwanadamu, ungemshauri nini? Mimi ningeshauri tu sehemu ya siri ya mwanamke izibwe.