Poa mkuu kila la kheriSawa braza wacha niendelee kuhangaika
Hapa sasa ndio umenena mweeh!Labda kama uwe hunitaki tuu ila mimi nimeoteshwa we ndo utanioa humu
Unahangaikaje wakati nipoSawa braza wacha niendelee kuhangaika
Jishauee tu utanitambuaa yale manguo yotr na vyeti navichoma motoHapa sasa ndio umenena mweeh!
Hahaaaa muharibifu huyo mwite pm umkanyeUshaanza kutuharibia.
Haya mid naona anawazibia wadada[emoji23].
Usizibe rizki bhana
Ameshindwa huyo.Hahaaaa muharibifu huyo mwite pm umkanye
Uje nyumbani kabla ya kukwichiHapa sasa ndio umenena mweeh!
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] ila hii pichaa[emoji23] [emoji23] View attachment 723752
Hii principle yako mkuu ni ya ukweli..Usiombe kupata mwanamke anayejua mambo mengi ya kidunia kaka, atakusumbua mno.
Kila la kheri.
Vunja kila fikra mbaya juu take zidi ya wadadaAmeshindwa huyo.
muache akapate stroke ya ujananiUsiombe kupata mwanamke anayejua mambo mengi ya kidunia kaka, atakusumbua mno.
Kila la kheri.
hahaa bebe wapi umeshaachwa.....chezea JF hahaa lazima uwe na moyo wenye sura kama ya kufuri za jelababe!!!!!! [emoji20][emoji20][emoji20]
hahaaa kwani yuko serious"" wote wliojaribu kuoa humu sasa hvi wanalia huko walipoKama Mungu anakupenda hawezi kubariki uoe humu...! Make humu jf ni tiketi ya jehanam..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaa bebe wapi umeshaachwa.....chezea JF hahaa lazima uwe na moyo wenye sura kama ya kufuri za jela
Kwahiyo wapo waliooana humu? Siamini kama hilo jambo lipohahaaa kwani yuko serious"" wote wliojaribu kuoa humu sasa hvi wanalia huko walipo
mkuu wapo humu watu wanatoka Kimya Kimya ...sio wote ambao wamefikia hatua ya ndoa ... but juzi kati kuna Dogo alileta Uzi wake humu akilalamika kuwa demu wake anamsumbua na huyo demu alikutana nae jf ..na walikuwa ktika process za ndoaKwahiyo wapo waliooana humu? Siamini kama hilo jambo lipo
Haaaa kwanini Mkuu si ndio wanawake walioelimika kwa sasa, usimkatishe tamaa ana vigezo vyote yupo tayari kuishi mwanzaSakayo hata mfaa huyu atafute wengine tuu