Mungu anijalie nipate mke humu JF

Mungu anijalie nipate mke humu JF

Kwahiyo wapo waliooana humu? Siamini kama hilo jambo lipo
mkuu wapo humu watu wanatoka Kimya Kimya ...sio wote ambao wamefikia hatua ya ndoa ... but juzi kati kuna Dogo alileta Uzi wake humu akilalamika kuwa demu wake anamsumbua na huyo demu alikutana nae jf ..na walikuwa ktika process za ndoa
 
Back
Top Bottom