Jamani....
Mbona majibu mengi ni ya kuvunja moyo!
Hawa wadada wa jf ndio hao hao waliopo uraiani..yaani huko mitaani....
Wapo wema na waovu...na pia hakuna aliye msafi 100%
Humu nadhani kuna vidume vilivyopata" wahuni " wenzao wakafanyana yao..basi imekuwa wadada wote humu ni hawana maana na hawafai kuolewa!
Wanajisahau kama na wao ni ovyo vile vile ndio maana wakaokota waliofananna nao!
Wanaishusha hadhi Gf kwa speed....
Naamini humu wapo wazuri na wanaojielewa sana tu...na mifano imo humu humu..rejea the bold na niffah na wengi tu ...walikutana hapa na sasa wanaishi in reality!
Rafiki.... kama uko serious nina uhakika utapata wako ..na nakuombea Mungu ndoto yako itimie ili uje kuwa shahidi wa hili!
Asante...
Kama virus ..hata huko wanakodhani havipo basi wajuwe vipo na hata kwenu wewe uliyesema vibaya vipo pia na wapo wenye navyo na wasio navyo pia!
Eti eeh ...mchumu basi abebike....