Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
ChumbageniBTW Tanga sehemu ipi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChumbageniBTW Tanga sehemu ipi ?
mbona alisema mkuu"".subiri na wew utampata mumeo humu humu ""Dooh. Niliona ule uzi ila sijui ilikua mawenge hata sikujua kama kampatia humu huyo wife to be wake
Mmh!..membamba!Unamwonaje Mambembe? nimesema unamwonaje tuelewane!
Vipi kuhusu wewe jamani hutafutiNikweli mkuu ila kwakua kesho ni weekend atawapata mapema tu
Sakayo yuko na mume tayariSakayo atakufaa ni msomi was chuo kikuu cha Taifa yaani Udsm ana masters mbili na sasa anampango wa kusoma PHD ulaya.
Cc Sakayo
Najiuza ndio kwake tu DavetUnajiuza mkuu?[emoji23] [emoji23] [emoji86]
Hahah!!...Nitafute nini tena sasa mbona unapenda sana kunipima imani?Vipi kuhusu wewe jamani hutafuti
Nimeuliza tu jamani mm vipi lakini mzimaHahah!!...Nitafute nini tena sasa mbona unapenda sana kunipima imani?
Aya basi eeh!! [emoji1] ... niko poa sana hofu kwako tu?Nimeuliza tu jamani mm vipi lakini mzima
Me mzima sana nakuhamu tuAya basi eeh!! [emoji1] ... niko poa sana hofu kwako tu?
Kunihamu ndio nini?[emoji1] embu niambieMe mzima sana nakuhamu tu
Jamaniiii nikikwambia we kiben10 unanuna angekuwa muhenga mwenzangu asingeniuliza hilo swaliKunihamu ndio nini?[emoji1] embu niambie
Umeamua kunisaliti sio...Mungu amejibu ombi langu la kupata mume huku.
Naanzaje bae?Umeamua kunisaliti sio...
Unajiuzaa? ebu acha kujipendekeza kwa wanaume na kujiuza mtoto anakutegemeaNaanzaje bae?
Eeh shem kumbe na wewe tayar umeshakabidhi moyo wako kwa mtu?Naanzaje bae?
Huyo shem wako kakabidhi kwa watu wengi yaanEeh shem kumbe na wewe tayar umeshakabidhi moyo wako kwa mtu?