Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sisi wazima piaWazima sana, sijui upande wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wazima piaWazima sana, sijui upande wako
Moyo wangu kwatuuuuuSisi wazima pia
Haya braza mtoto wa kitanga huyo anajiita mzigua kamata fursaHahaha
Braza hapa kuna wanawake makini sana, tena wanajielewa. Sitaolea mbali braza ni mji huu huu nilio kulia
babe!!!!!! [emoji20][emoji20][emoji20]Mungu amejibu ombi langu la kupata mume huku.
Good morning lovebabe!!!!!! [emoji20][emoji20][emoji20]
Inshallah utapataMoja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana sijaoa natafuta mke humu jf sababu zakutaka wanawake wahumu wameelimika na wanajua mambo mengi ya dunia
Nawasilisha
Morning babe love [emoji3]Good morning love
Tatizo She is not into me.Haya braza mtoto wa kitanga huyo anajiita mzigua kamata fursa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo She is not into me.
Ana target zake za juu zaid nadhani
HahahahahahaaaaaUnamwonaje Mambembe? nimesema unamwonaje tuelewane!
Yani sio sealed?!!!Moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana sijaoa natafuta mke humu jf sababu zakutaka wanawake wahumu wameelimika na wanajua mambo mengi ya dunia
Nawasilisha
Naunga mkono hojaOmbi lako likatimie
Ni vigumu sana mwanadamu kuzuia riziki ya mwenzio....[emoji23].
Usizibe rizki bhana
Ushaziweka sample mezani au bado?Asee we jamaa una mawazo kama yangu.
Na mimi ntampatia hapa hapa
Braza sample zipo mbona.Ushaziweka sample mezani au bado?
Kama wewe ulivyomnyofoa cha mdeko...Inshallah utapata
Acha kabisa ile almasi... Nimetunukiwa kama zali (sio bibi tukinao)Kama wewe ulivyomnyofoa cha mdeko...
Ziweke mezani tusaidiane kuzitestBraza sample zipo mbona.
Mimi lazima ntaolea humu asee.