Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kabisa ile almasi... Nimetunukiwa kama zali (sio bibi tukinao)
Braza mambo mazuri hayataki haraka, wewe ikifia stage at least ya robo fainali hivi ndio ntaanza kukushirikisha hatua za makundi hizi za chini sana.Ziweke mezani tusaidiane kuzitest
Braza na mi ntakutafuta unipe siri ya mafanikioAcha kabisa ile almasi... Nimetunukiwa kama zali (sio bibi tukinao)
[emoji23] [emoji23]Braza na mi ntakutafuta unipe siri ya mafanikio
Poa mkuu hatua hizo huwa zinamvuto na kuvuta attention ya hadhira.Braza mambo mazuri hayataki haraka, wewe ikifia stage at least ya robo fainali hivi ndio ntaanza kukushirikisha hatua za makundi hizi za chini sana.
Kama Mungu anakupenda hawezi kubariki uoe humu...! Make humu jf ni tiketi ya jehanam..!Moja kwa moja kwenye mada Mimi ni kijana sijaoa natafuta mke humu jf sababu zakutaka wanawake wahumu wameelimika na wanajua mambo mengi ya dunia
Nawasilisha
Huyo mke wa mtu banaSakayo atakufaa ni msomi was chuo kikuu cha Taifa yaani Udsm ana masters mbili na sasa anampango wa kusoma PHD ulaya.
Cc Sakayo
Wala siwezi kukupanga.Ntakupanga wapi [emoji23] ?
Wakati wewe ndio utanipanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Braza mambo mazuri hayataki haraka, wewe ikifia stage at least ya robo fainali hivi ndio ntaanza kukushirikisha hatua za makundi hizi za chini sana.
Sakayo hata mfaa huyu atafute wengine tuuSakayo atakufaa ni msomi was chuo kikuu cha Taifa yaani Udsm ana masters mbili na sasa anampango wa kusoma PHD ulaya.
Cc Sakayo
HahahaPoa mkuu hatua hizo huwa zinamvuto na kuvuta attention ya hadhira.
Naisubiri kwa hamu....
Kwa sasa nasubiri kuanzia hatua ya robo fainali mkuuHahaha
Unataka hadi makundi kabsa mzee?
Hahahaha.Wala siwezi kukupanga.
Weka sura yako..! Acha kutembelea nyota za watu..Wapo wengii tu wanalia lia
Kwani mleta mada kaomba sura yangu au?Weka sura yako..! Acha kutembelea nyota za watu..
Sawa braza wacha niendelee kuhangaikaKwa sasa nasubiri kuanzia hatua ya robo fainali mkuu
Labda kama uwe hunitaki tuu ila mimi nimeoteshwa we ndo utanioa humuHahahaha.
Mimi nna was was na kauli yako.