Mungu anisaidie 2025 nipate kazi

Mungu anisaidie 2025 nipate kazi

Asante sana hakika kilichofunguliwa duniani pia kimefunguliwa mbinguni.nazipokea baraka zako
Mungu akusaidie

Kuna Uzi humu wanaotafuta ajira huweka CV zao ikiwa ni pamoja na kutaja fani na Ujuzi walionao

Hivyo unaweza kuutembelea kisha nawe ukafanya hivyo, huenda ukabahatika kuonwa na wenye kuajiri wakakuchukua

Kila la heri kwako
 
Asante sana nishafanya hivyo ila wengi wao wanakwambia toa mawasiliano yako na ukiwapa hawakutafuti ni mtu 3 anasema nimpe mawasiliano lkn hawakutafuti
 
Muombe Mungu pia jaribu kufanya mawasiliano na watu mbali mbali
Nipe mwongozo mkuu maana nimefanya hivyo lkn bado sijajua wapi nakosea, nimejiunga LinkedIn huko pia bado nimejalibu kutuma ujumbe kwa email kwenye makampun lkn bado .lbda nipe mwongozo
 
Muombe MUNGU pia million 5 za mtaji mkuu ukifa utarudii nazoo..
 
Nipe mwongozo mkuu maana nimefanya hivyo lkn bado sijajua wapi nakosea, nimejiunga LinkedIn huko pia bado nimejalibu kutuma ujumbe kwa email kwenye makampun lkn bado .lbda nipe mwongozo
Tafuta makundi ya wasup na telegram ya course ulosoma humo utakua unapata update nyingi nyingi
 
Screenshot_20250101-132518.png
 
Mwaka 2025 ukawe mwema kwangu na wapambanaji wote.

Huu ni mwaka mpya huenda sehem ulipo kuna mfanyakazi ameacha kazi, amesitaafu au huenda kuna nafasi, basi tupeane connection ili 2025 tubarikiwe na sisi.

Na wewe ambaye umepewa nafasi, umeaminiwa na umepewa connection please usiichezee nafasi hiyo kupata kazi ni kazi.
Amina
 
Attachments

  • Screenshot_20250101-134125.png
    Screenshot_20250101-134125.png
    232.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250101-134125.png
    Screenshot_20250101-134125.png
    232.5 KB · Views: 2
Mwaka 2025 ukawe mwema kwangu na wapambanaji wote.

Huu ni mwaka mpya huenda sehem ulipo kuna mfanyakazi ameacha kazi, amesitaafu au huenda kuna nafasi, basi tupeane connection ili 2025 tubarikiwe na sisi.

Na wewe ambaye umepewa nafasi, umeaminiwa na umepewa connection please usiichezee nafasi hiyo kupata kazi ni kazi.
Screenshot_20250101-134125.png
 
Maombi yanahitajika ndugu zangu kama kupambana napambana sana kutafuta ajira
 
Back
Top Bottom