Asante sana hakika kilichofunguliwa duniani pia kimefunguliwa mbinguni.nazipokea baraka zakoMungu akusaidie na asikie kilio chako
Mwaka 2025 ukawe ni Mwaka wa kutimiza hitaji lako la kazi na kufunguliwa milango ya baraka
Mungu akusaidieAsante sana hakika kilichofunguliwa duniani pia kimefunguliwa mbinguni.nazipokea baraka zako
Asante sana nishafanya hivyo ila wengi wao wanakwambia toa mawasiliano yako na ukiwapa hawakutafuti ni mtu 3 anasema nimpe mawasiliano lkn hawakutafutiMungu akusaidie
Kuna Uzi humu wanaotafuta ajira huweka CV zao ikiwa ni pamoja na kutaja fani na Ujuzi walionao
Hivyo unaweza kuutembelea kisha nawe ukafanya hivyo, huenda ukabahatika kuonwa na wenye kuajiri wakakuchukua
Kila la heri kwako
Nipe mwongozo mkuu maana nimefanya hivyo lkn bado sijajua wapi nakosea, nimejiunga LinkedIn huko pia bado nimejalibu kutuma ujumbe kwa email kwenye makampun lkn bado .lbda nipe mwongozoMuombe Mungu pia jaribu kufanya mawasiliano na watu mbali mbali
Tafuta makundi ya wasup na telegram ya course ulosoma humo utakua unapata update nyingi nyingiNipe mwongozo mkuu maana nimefanya hivyo lkn bado sijajua wapi nakosea, nimejiunga LinkedIn huko pia bado nimejalibu kutuma ujumbe kwa email kwenye makampun lkn bado .lbda nipe mwongozo
Pole Mkuu, muhimu usikate tamaaAsante sana nishafanya hivyo ila wengi wao wanakwambia toa mawasiliano yako na ukiwapa hawakutafuti ni mtu 3 anasema nimpe mawasiliano lkn hawakutafuti
Tafuta makundi ya wasup na telegram ya course ulosoma humo utakua unapata update nyingi nyingi
AminaMwaka 2025 ukawe mwema kwangu na wapambanaji wote.
Huu ni mwaka mpya huenda sehem ulipo kuna mfanyakazi ameacha kazi, amesitaafu au huenda kuna nafasi, basi tupeane connection ili 2025 tubarikiwe na sisi.
Na wewe ambaye umepewa nafasi, umeaminiwa na umepewa connection please usiichezee nafasi hiyo kupata kazi ni kazi.
Mkuu ninayo hadi simu inajaa nimekuonesha hapo mfano tu.Mungu asaidie hakikaTafuta makundi ya wasup na telegram ya course ulosoma humo utakua unapata update nyingi nyingi
Naimani atatendaMuombe MUNGU pia million 5 za mtaji mkuu ukifa utarudii nazoo..
Tafuta makundi ya wasup na telegram ya course ulosoma humo utakua unapata update nyingi nyingi
Tafuta makundi ya wasup na telegram ya course ulosoma humo utakua unapata update nyingi nyingi
Mwaka 2025 ukawe mwema kwangu na wapambanaji wote.