Tubadilishe mfumo kwa kuwasaidia live watu wasiojiweza sio kuwakababidhi hawa Jamaa maana nao ni wapigaji kama wapigaji wengineNjia bora zaidi ni kutokutoa sadaka!
Sadaka usiache kutoa, ila hakikisha unawapa wenye uhitaji wa kweli ila sio kuwatajirisha hawa wajasiria dini.Njia bora zaidi ni kutokutoa sadaka!
Mtume Paul alisema nifateni ( tujifunze kwake na kuishi kama yeye ) mimi kama ninavyo mfata Kristo Yesu . Ukishaona mchungaji wako mzushi mzushi hamfati Kristo Yesu vile ipasavyo na ambavyo neno linavyotaka.. mpige chini mapema. Jifunze direct mwenyewe kwa Mungu na kumfata ili kizazi chako kije kujifunza kupia wewe.. sie wachungaji wa now day tumeharibika na tamaa ya pesa na mademu na umaarufu mavi πππNajaribu kuwapima viongozi wetu wa dini kwangu hapa namaanisha wachungaji wa kikristo naona kama wamepotoka na hawalisaidii taifa.
Kwanini?
1. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya RO .
2. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya mchungaji MK.
3. Angalia idara pendwa wakati huu ipo chini ya DAM.
Hebu hata niwewe mwana great thinker utawaamini wachungaji? Hapa muweke mbali gwjby maana Mimi ameniongezea sababu za kutowaamini Hawa watu. (Wachungaji)
Hakika sio wote wamuitao bwana watauona ufalme wa Mungu.
Super B.
kwani umeagizwa wapi na nani kuwaamini viongozi wa dini mkuu?Najaribu kuwapima viongozi wetu wa dini kwangu hapa namaanisha wachungaji wa kikristo naona kama wamepotoka na hawalisaidii taifa.