Mungu asikia maombi ya wanandoa wa kimarekani na kuikoa nyumba yao dhidi janga la moto

Mungu asikia maombi ya wanandoa wa kimarekani na kuikoa nyumba yao dhidi janga la moto

MBYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2020
Posts
366
Reaction score
521
Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao

Hawa huyo Mungu aliwakosea nini huko gaza?
IMG-20250115-WA0000.jpg
 
Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao

Wanadamu waache kiburi chao cha kutokumtambua uwepo wa Mungu. Mtajuta na kusaga meno siku moja kwa ajili ya kiburi cha kukataa uwepo wa Mungu. Haingilii akilini mwngu kabisa watu kubisha uwepo wa Mungu wakati ni dhahiri uumbaji unadhihirisha uwepo wake.
 
Back
Top Bottom