Chukua akiba yako yoooote ya pesa kisha mpelekee Mwamposa, ndio utajua kuwa haujui..Imani huhamisha mlima
Huu uzi haongelewi Mwamposa, anaongelewa Mungu. Sasa Kama wewe Mungu wako ni Mwamposa chukua akiba yako umpelekee.Chukua akiba yako yoooote ya pesa kisha mpelekee Mwamposa, ndio utajua kuwa haujui..
Siku hizi Mwamposa amekua IMANI?Chukua akiba yako yoooote ya pesa kisha mpelekee Mwamposa, ndio utajua kuwa haujui..
Sawa mkuuChukua akiba yako yoooote ya pesa kisha mpelekee Mwamposa, ndio utajua kuwa haujui..
Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao