4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Namtanguliza Mungu na amani kwa kila mwana jf popote ulipo.
Rejea mada tajwa hapo juu.
Ingekuaje kama binadam tusingekua tunakufa ? mbona hii dunia ingekua ngumu sana.
Watu ama kwa madaraka ,vyeo, utajiri wanawafanyia wenzao mahovu ili hali nao watakufa ,vipi kama wangekua hawafi /hatufi hali ingekuaje.
Nimeandika uzi huu , baada ya kuona Rais wa Uganda jinsi amejaza kila sekta familia yake ,nimeumia sana kana kwamba nchi ya familia yake.
Vyovyote vile uwe nani utakufa tu .
Tutende mema dunian .
Thanks