African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Leo nimeona niandike kidogo kama sio kutoa ushauri kwa chama kipya kitachopewa idhini na wananchi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania.
Kwa ufupi ni kwamba 2025 ni mwaka ambao utalejesha matumaini makubwa kwa watanzania, kwani bahada ya utawala wa muda mrefu wa hiki chama watanzania watahamua kukiweka kando na chama kipya na serikali mpya itashika hatamu ya kuliongoza taifa hili lenye historia kubwa katika bara hili la Africa.
Napenda kutoa ushauri kwa hicho chama kitakacho shika hatamu ya kuliongoza taifa hili, kwanza watambue taifa hili lilijengwa katika msingi wa ujamaa na kujitengemea lengo hapa sio ujamaa kwani kuna watu wakisikia ujamaa wanapata picha nyingine lengo ni kujitengemea, mnawajibu wa kuhakikisha mnajenga mazingira yatayowezesha taifa hili kujitengemea kwa kutumia rasilimali zilipo nchini.
Kamwe msipite njia ya watangulizi wenu waliokua wanapita kwani mtapotea na mwisho hamtafanya kitu bali marudio ya watangulizi wenu.
Hakikisheni miradi kama barabara, maji umeme ujenzi wa viwanja vya ndege mashule, hospital na zahanati na miradi mingine mingi mnatumia fedha za ndani na sio za mikopo, kodi mnazokusanya zinaweza kufanya vitu hivyo vyote kama serikali itakua na nia na malengo ya dhati kulisaidia taifa hili.
Kitu kingine mnachotakiwa kujua lazima muogope sana mikopo inayotia hasara taifa, ogopeni kuchukua mikopo kwa ajili ya kufund projects ambazo zinazoweza kugharamiwa na fedha za mapato yetu wenyewe, Kama matakopa hakikisheni hiyo fedha ni kwa ajili ya kufund miradi mikubwa yenye matokeo chanya kwa raia na taifa kwa ujumla
Kama mtachukua mkopo chukueni kwa ajili ya kufanya mapinduzi makubwa ya kilimo nchi hii bado ni ya kilimo na raia walio wengi bado wanategemea kilimo kama shuguli zao za kiuchumi, pia sector ya kilimo itachochea ukuaji wa viwanda na kusaidia kutatua tatizo la ajira kwa vijana wengi wa taifa hili, hii mada ya kilimo nitaitafutia Uzi wake mahana ina mambo mengi.
Jambo kingine kama mtachukua mkopo hakikisheni mnawekeza kwenye elimu ya ufundi, kilimo na Tehama hivi vitu vitatu mkavitilie mkazo kwani ndio vitakavyokuja kupaisha uchumi wa nchi hii
Kwa leo naomba nihishie hapa siku nyingine nitarudi tena na nasaha zangu kwa hawa watanzania wapya watakaopewa ridahaa ya kuiongoza Tanzania 2025.