Pre GE2025 Mungu ataikumbuka tena Tanzania 2025, Watanzania wataamua kukiweka chama kipya madarakani

Pre GE2025 Mungu ataikumbuka tena Tanzania 2025, Watanzania wataamua kukiweka chama kipya madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matawi ya ccm ndio wapewe nchi? Mbowe, Zitto, Slaa wote ni ccm

Labda ccm wagawanyike na na dola iwape nchi wapinzani kwa nguvu!!!
Msitumie ile mbeleko ya chuma tuone mnavyo angukia pua na kuvunja meno yote.Thubutuni kuacha kukwiba tione.
 
CHADEMA lazima ishinde
Dola haiwezi kuruhusu hilo kutokea!!

Why

Coz wameihujumu,wameiumiza,wameimwaga damu Yao sana pia wameilea Ili upinzani ukue!!

Watakipa chama kidogo au Cha kati kikongwe kati ya hivi nccr,Act au Umoja party!!
Kwa muono wangu nccr mageuzi coz kimekaa kijasusi sana na kina mkono mrefu kiusalama kuliko hats chadema ambao ni Adui wa Dola!

Act ya ziti kabwe haiaminiki,Umoja party kichanga sana!

Cuf siasa Kali za kidini!!


Kafulila anaweza kupitia nccr au majaliwa kasim majaliwa kama hatokua makam wa mama!!

Maoni binafsi!
 
Dola haiwezi kuruhusu hilo kutokea!!

Why

Coz wameihujumu,wameiumiza,wameimwaga damu Yao sana pia wameilea Ili upinzani ukue!!

Watakipa chama kidogo au Cha kati kikongwe kati ya hivi nccr,Act au Umoja party!!
Kwa muono wangu nccr mageuzi coz kimekaa kijasusi sana na kina mkono mrefu kiusalama kuliko hats chadema ambao ni Adui wa Dola!

Act ya ziti kabwe haiaminiki,Umoja party kichanga sana!

Cuf siasa Kali za kidini!!


Kafulila anaweza kupitia nccr au majaliwa kasim majaliwa kama hatokua makam wa mama!!

Maoni binafsi!
Hawa ni kupambana nao mpka mwisho
 
Binafsi ningependa kuona chama kingine kikishika dola..mana hakuna chama kisicho na watanzania, hivyo uoga hakuna..pia serikali ina mfumo nje ya siasa, hivyo yeyote awae Rais hata kama sio ccm atapata wa kufanya nao kazi hata wale waliokuwa hawajulikani. Mhimu ni kuwa kubadirisha chama sio kubadirisha nchi ila ni kutaka kuona kipya kwa ambao walikuwa bench..hata kwenye mpira kocha akimuingiza sub huwa ana mategemeo kuwa mchezo kausoma vema..na haimanishi yule anayetoka ni mbaya hapana, ila ni kutaka kuona huyu sub anaweza fanya vema zaidi? Asipofanya vema zaidi inabidi mechi ijayo yule wa awali aanze tena..ni ivyo tu lakini kuendelea kung'ang'ania mchezaji (chama) ilihali anacheza kwa mazoea si jambo zuri kwa kocha(wananchi)..sisi wananchi..wachezaji wote ni wetu na ni watanzania wenzetu mhimu tu wawe na maadili mazuri na pia wanazingatia uzalendo. Nasema ivi hata kama ni Rais atoke ccm basi awe na element za upya na umageuzi kiasi kwamba hata wanaccm wenzake Waone kama sio mwenzao vile.
Kama JPM alivyoanza kujipambanua ???!
 
Kwani Dola ishatoa baraka kwa chama kingine kushika hatamu!!?

Tunajua Kwa miaka mingi ccm ndio ilipewa baraka hizo!sasa The state imeamua kukipa chama kingine kijaribu bahati yake!!?

Je ni Umoja party au ACT ya zito kabwe!!?

Au NCCR MAGEUZI YA DAVID KAFULILA AMBAYE AMEKUA VOCAL SANA KWA SIKU ZA KARIBUNI!!?
Kwani Umoja Party inausajili wa kudumu
 
Watanzania hawahawa? Labda kama unaota ndoto! Ila kweli tumefundishwa kuamini ndoto, maombi na maoni ccm haiachii madaraka kwa wishful thinking, rudia upya!

Mambo huwa yanaumbwa wandugu hayajitokei yenyewe wala kuombewa, maombi yenu yangekuwa yanafanya kazi na kwa mamilioni wanaoomba kila siku nafikri nchi ingekuwa spiritual sana lkn kalagabaho na scam tu ndo mana watu wanakonda then manabii na mitume wa kibongo wananona na wanaishi maisha classic bila kupoteza nguvu nyingi
 
Mimi nachoamini Chama pendwa kitatoka madarakani kama Jeshi na vyombo vya usalama vitaungana na wananchi kukiondoa!
Asikudanganye mtu Jeshi ndiyo linamchagua Rais zaidi ya hapo haiwezekani!
 
Leo nimeona niandike kidogo kama sio kutoa ushauri kwa chama kipya kitachopewa idhini na wananchi wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania.

Kwa ufupi ni kwamba 2025 ni mwaka ambao utalejesha matumaini makubwa kwa watanzania, kwani bahada ya utawala wa muda mrefu wa hiki chama watanzania watahamua kukiweka kando na chama kipya na serikali mpya itashika hatamu ya kuliongoza taifa hili lenye historia kubwa katika bara hili la Africa.

Napenda kutoa ushauri kwa hicho chama kitakacho shika hatamu ya kuliongoza taifa hili, kwanza watambue taifa hili lilijengwa katika msingi wa ujamaa na kujitengemea lengo hapa sio ujamaa kwani kuna watu wakisikia ujamaa wanapata picha nyingine lengo ni kujitengemea, mnawajibu wa kuhakikisha mnajenga mazingira yatayowezesha taifa hili kujitengemea kwa kutumia rasilimali zilipo nchini.

Kamwe msipite njia ya watangulizi wenu waliokua wanapita kwani mtapotea na mwisho hamtafanya kitu bali marudio ya watangulizi wenu.

Hakikisheni miradi kama barabara, maji umeme ujenzi wa viwanja vya ndege mashule, hospital na zahanati na miradi mingine mingi mnatumia fedha za ndani na sio za mikopo, kodi mnazokusanya zinaweza kufanya vitu hivyo vyote kama serikali itakua na nia na malengo ya dhati kulisaidia taifa hili.

Kitu kingine mnachotakiwa kujua lazima muogope sana mikopo inayotia hasara taifa, ogopeni kuchukua mikopo kwa ajili ya kufund projects ambazo zinazoweza kugharamiwa na fedha za mapato yetu wenyewe, Kama matakopa hakikisheni hiyo fedha ni kwa ajili ya kufund miradi mikubwa yenye matokeo chanya kwa raia na taifa kwa ujumla

Kama mtachukua mkopo chukueni kwa ajili ya kufanya mapinduzi makubwa ya kilimo nchi hii bado ni ya kilimo na raia walio wengi bado wanategemea kilimo kama shuguli zao za kiuchumi, pia sector ya kilimo itachochea ukuaji wa viwanda na kusaidia kutatua tatizo la ajira kwa vijana wengi wa taifa hili, hii mada ya kilimo nitaitafutia Uzi wake mahana ina mambo mengi.

Jambo kingine kama mtachukua mkopo hakikisheni mnawekeza kwenye elimu ya ufundi, kilimo na Tehama hivi vitu vitatu mkavitilie mkazo kwani ndio vitakavyokuja kupaisha uchumi wa nchi hii

Kwa leo naomba nihishie hapa siku nyingine nitarudi tena na nasaha zangu kwa hawa watanzania wapya watakaopewa ridahaa ya kuiongoza Tanzania 2025.
Mimi ni shauri vyama viwili viungane ACT na CDM wakae chini Mda huu mapema waweke mipango thabiti ya ushirikiano bila unafiki, Ikijulikana kabisa kwa upande wa Zanzibar ACT wamejizatiti kwa asilimia 90 na CDM kwa Tanzania bara wamejizatiti kwa aslimia70 kwa vigezo hiyo vyama vyote viweke wagombea wa uraisi pande zote mbili ila mgombea wa ACT kwa Tazania Bara awe backup kwa mgombea wa CDM na mgombea wa CDM tanzania visiwani awe Backup kwa mgombea uraisi wa ACT wa Zanzibar. Kuhusu upande wa wabunge na udiwani wote waweke wagombea sehemu zote ila yule ambaye atakuwa na nguvu ktk eneo husika mgombey mmoja Ampe suport wa chama kingine na jua hapo kuna kuja swala la gharama wausika watatakiwa wakae pamoja na kutengeza bajeti yao nakufanikisha mmoja wao ashinde. Hapa namaana vyama husika vitoe tu Muongozo ila ushirikiano utakuwa wawahusika wenyewe. Wausika wasipo elewana vyama haviwezi kufanya CHote na ushirikiano zaidi ya huo hauwezekani kwasababu hata yule ambaye anajua kabisa aweezi kushinda lakini na yeye anataka apate frusa ya kujulikana na utaratibu wa namna hii utasaidia kumpaisha kwa kiasi fulani yule anaye muachia mwenzake. Wote wawe na timu za kampeni timu zote zikubaliane jambo moja.
 
Dola ni UVCCM tupu
Uvccm yetu Ina mafungamano ya ndani sana na FBI,CIA,Mossad,M16 na n.k coz hao ndio walisimamia transition ya uhuru wa Tanganyika Hadi Tukaipata Tanzania!namaanisha Tiss Kwa miaka mingi ndivyo ilivyo!!

Sasa!!?

Mwenyekiti keshakorofishana na US pamoja na Europe in favor of Russia and Arabs!!Jazba ya Dr.Tulia sum it all!!

Sasa unafikiri deep state itakubali huu uhusiano wa ghafla wa mwenyekiti na Jao jamaa wapya uharibu uhusiano wa muda mrefu uliokuwepo kati ya Dola yetu na mashirika ya kijasusi ya US na Europe plus israel!!?

Unafikiri kwanini US wanajenga military base hapo kenya!!?je hawatokua na influence kwenye uchaguzi mwakani!!?

Ndipo napoona purukushani kama zile zilizomuingiza Tshesekedi like Congo na Joseph kabila akatema bungo!!!

Uchaguzi wetu mwakani ni vita vya kijasusi kati ya Mossad,CIA,FBI,M16 VS KGB ya Russia plus hayo ya kiarabu!!

Najaribu kufikiri kama mwanaccm nisie chawa Bali mwenye akili Timamu!!
 
Back
Top Bottom