Pre GE2025 Mungu ataikumbuka tena Tanzania 2025, Watanzania wataamua kukiweka chama kipya madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matawi ya ccm ndio wapewe nchi? Mbowe, Zitto, Slaa wote ni ccm

Labda ccm wagawanyike na na dola iwape nchi wapinzani kwa nguvu!!!
Msitumie ile mbeleko ya chuma tuone mnavyo angukia pua na kuvunja meno yote.Thubutuni kuacha kukwiba tione.
 
CHADEMA lazima ishinde
Dola haiwezi kuruhusu hilo kutokea!!

Why

Coz wameihujumu,wameiumiza,wameimwaga damu Yao sana pia wameilea Ili upinzani ukue!!

Watakipa chama kidogo au Cha kati kikongwe kati ya hivi nccr,Act au Umoja party!!
Kwa muono wangu nccr mageuzi coz kimekaa kijasusi sana na kina mkono mrefu kiusalama kuliko hats chadema ambao ni Adui wa Dola!

Act ya ziti kabwe haiaminiki,Umoja party kichanga sana!

Cuf siasa Kali za kidini!!


Kafulila anaweza kupitia nccr au majaliwa kasim majaliwa kama hatokua makam wa mama!!

Maoni binafsi!
 
Hawa ni kupambana nao mpka mwisho
 
Kama JPM alivyoanza kujipambanua ???!
 
Kwani Umoja Party inausajili wa kudumu
 
Watanzania hawahawa? Labda kama unaota ndoto! Ila kweli tumefundishwa kuamini ndoto, maombi na maoni ccm haiachii madaraka kwa wishful thinking, rudia upya!

Mambo huwa yanaumbwa wandugu hayajitokei yenyewe wala kuombewa, maombi yenu yangekuwa yanafanya kazi na kwa mamilioni wanaoomba kila siku nafikri nchi ingekuwa spiritual sana lkn kalagabaho na scam tu ndo mana watu wanakonda then manabii na mitume wa kibongo wananona na wanaishi maisha classic bila kupoteza nguvu nyingi
 
Mimi nachoamini Chama pendwa kitatoka madarakani kama Jeshi na vyombo vya usalama vitaungana na wananchi kukiondoa!
Asikudanganye mtu Jeshi ndiyo linamchagua Rais zaidi ya hapo haiwezekani!
 
Mimi ni shauri vyama viwili viungane ACT na CDM wakae chini Mda huu mapema waweke mipango thabiti ya ushirikiano bila unafiki, Ikijulikana kabisa kwa upande wa Zanzibar ACT wamejizatiti kwa asilimia 90 na CDM kwa Tanzania bara wamejizatiti kwa aslimia70 kwa vigezo hiyo vyama vyote viweke wagombea wa uraisi pande zote mbili ila mgombea wa ACT kwa Tazania Bara awe backup kwa mgombea wa CDM na mgombea wa CDM tanzania visiwani awe Backup kwa mgombea uraisi wa ACT wa Zanzibar. Kuhusu upande wa wabunge na udiwani wote waweke wagombea sehemu zote ila yule ambaye atakuwa na nguvu ktk eneo husika mgombey mmoja Ampe suport wa chama kingine na jua hapo kuna kuja swala la gharama wausika watatakiwa wakae pamoja na kutengeza bajeti yao nakufanikisha mmoja wao ashinde. Hapa namaana vyama husika vitoe tu Muongozo ila ushirikiano utakuwa wawahusika wenyewe. Wausika wasipo elewana vyama haviwezi kufanya CHote na ushirikiano zaidi ya huo hauwezekani kwasababu hata yule ambaye anajua kabisa aweezi kushinda lakini na yeye anataka apate frusa ya kujulikana na utaratibu wa namna hii utasaidia kumpaisha kwa kiasi fulani yule anaye muachia mwenzake. Wote wawe na timu za kampeni timu zote zikubaliane jambo moja.
 
Dola ni UVCCM tupu
Uvccm yetu Ina mafungamano ya ndani sana na FBI,CIA,Mossad,M16 na n.k coz hao ndio walisimamia transition ya uhuru wa Tanganyika Hadi Tukaipata Tanzania!namaanisha Tiss Kwa miaka mingi ndivyo ilivyo!!

Sasa!!?

Mwenyekiti keshakorofishana na US pamoja na Europe in favor of Russia and Arabs!!Jazba ya Dr.Tulia sum it all!!

Sasa unafikiri deep state itakubali huu uhusiano wa ghafla wa mwenyekiti na Jao jamaa wapya uharibu uhusiano wa muda mrefu uliokuwepo kati ya Dola yetu na mashirika ya kijasusi ya US na Europe plus israel!!?

Unafikiri kwanini US wanajenga military base hapo kenya!!?je hawatokua na influence kwenye uchaguzi mwakani!!?

Ndipo napoona purukushani kama zile zilizomuingiza Tshesekedi like Congo na Joseph kabila akatema bungo!!!

Uchaguzi wetu mwakani ni vita vya kijasusi kati ya Mossad,CIA,FBI,M16 VS KGB ya Russia plus hayo ya kiarabu!!

Najaribu kufikiri kama mwanaccm nisie chawa Bali mwenye akili Timamu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…