Mungu atanisamehe, hata wewe usingevumilia, ni mzuri sana

aisee!
 
Mambo mengine hata shetani anajiuliza yanawezekana vipi
hamna kinacho mshangaza shetani hapo. Kumbuka shetani kashuhudia ndoa ya Ibrahim na dada ake(sarah), kashuhudia ndoa za watawala wa kimisiri walio kuwa wanaoana ndugu wa tumbo moja, kashuhudia watoto wa lutu wakizaa na dingi yao, nk
Hapo shetan anaona ata nusu ya aliyoyashuhudia bado hatujayafikia
 
Bila kupepesa macho huyo shangazi yako alikuwa kahaba
 
Chai na maharage yake yakisaidiwa na maandaazi matano hapa supu siion,nahisi hata hiyo chai yenyewe ulikopa
Nonsense! Rabbit! Idiot! Mmoja
Kijana kaamua kuchangamsha jukwaa tu tusahau yaliyotokea huko Mwanza kabla hata ya mazishi
 
Kwa hiyo fresh tu kazi iendelee?
 
Chai na maharage yake yakisaidiwa na maandaazi matano hapa supu siion,nahisi hata hiyo chai yenyewe ulikopa
Nonsense! Rabbit! Idiot! Mmoja
Sawa, mwenye akili ww
 
Kwa hiyo fresh tu kazi iendelee?
mm sijahalalisha nilikuwa na toa tu mfano wa shetan kutokushangaa.
wee inabidi tuchanganye damu ukoo upate vitu vipya.
Ila Kama mila zenu zinaruhusu hakuna wakukuzuia ila kama haziruhusu hizo tabia waachie walio kuwa wanazifanya
 
Vitu vingine haviwezekani, haya uliyoyaandika hayata wezekana kwasababu ya magepu ya miaka
 
Shetani mwenyewe anahitaji kujiboresha aje na dhambi zingine mpya maana alizonazo wanadamu tayari wamemkalisha.

Inabidi aje kivingine asipofanya hivo atajikuta yuko nyuma ya mda sisi waleeee
Unajua tafsiri ya dhambi ww?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…