Mungu atuongoze katika tiba ya Donda dugu hili

cosa nostra

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
1,773
Reaction score
1,805
saizi huwezi kujua nani guilty na nani yuko clean,katika vita hii ambayo inahusisha watu wa kada mbali mbali inaweza ikabadili uso mzima hata wa siasa za bongo

kwenye zike Movie za Mafian watu waliokua wanajifanya clean na kususpect wenzao ndio waliokua wana deal na akina Don Corleone (Gang leader) ili wajisafishe machoni kwa watu.

na wale true dealers walikua so clean kwa jamii kama malaika hadi wengine wakawa wanapata cerificate kutoka vatican za kuwa watu safi kumbe uozo mtupu.

Vita hii iliwasumbua sana Italia mpaka leo na mpaka sasa nasikia Italian mobs wanaendelea na issue zao USA kama kawa

Mungu atuongoze katika tiba ya Donda dugu hili tulilo kua nalo toka utotoni na sasa tumeamua kuligusa gusa kwa kujaribu kutafutia mti shamba wa kulitibu.

Tanzania Bila madawa inawezekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…