Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

dada umechangamkiwa hadi basi..sie wengine tukiweka tunaambulia mitusi na kejeli.
hongera sana utapata mume na utarud na ushuhuda..
IKIWA UTATUMIA AKILI KATIKA KUMCHAGUA ANAEKUFAA[emoji4]
 
Kila lakheri mpendwa, vumilia tu muda ukifika yatatimia yale yote ya haja ya moyo wako.
 
All the best!
 
Kila aombae hupewa, amini umekwishapokea!!!

Mume bora mtu hupewa na Mungu, naamini Mungu atakupa aliye wako pekee na ukimpata Usichoke kumuombea na kumlinda kwa maombi kila iitwapo leo.. Kila lenye kheri mdada
 
Asante kwa maneno yako mazuri na ya kutia moyo.... Be blessed!
 
dada umechangamkiwa hadi basi..sie wengine tukiweka tunaambulia mitusi na kejeli.
hongera sana utapata mume na utarud na ushuhuda..
IKIWA UTATUMIA AKILI KATIKA KUMCHAGUA ANAEKUFAA[emoji4]
Hahahaha hahahaha duuh
 
Si umezaliwa mwaka 1970. Sasa mwaka huo na miaka 28 wapi na wapi? Au nimeangalia vibaya kwenye profile yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…