Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

Mwenzenu kule Nairo anatembea na Bango, hivi nyie kwanini siyo wabunifu ?
 
Mke sina, kwenye mitandao na ID zetu fake wawezà okota jini! Wanawake wa siku hizi pasua kichwa
 
Dadanipunguzieumri

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.

Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana.

Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila sikuweza fanikiwa na sina wa kumlaumu katika hili

Umri wangu kwasasa ni 28
Ni mkristo

Hitaji langu ni kumpata mwenza alie smart in and out

Sichagui rangi, urefu sijui ufupi ila uwe tu smart sababu naamini mume ni zaidi ya physical appearance

Umri usiwe chini ya 30

Na ni vizuri ukiwa ni mkristo

Mambo mengine ya msingi tutafahamishana pm

Karibuni!
M meet ur requirement can u share any inf with u

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni ladies and gentlemen poleni na mihangaiko ya siku nzima.

Kuna dada leo ameleta mrejesho na amenitia moyo aliposema tangu 2013 alikua akitafuta ila amekuja kufanikiwa mwaka huu hii imenitia moyo sana na kuona kumbe inawezekana.

Last year nilikuja na uzi wa kutafuta mwenza ila sikuweza fanikiwa na sina wa kumlaumu katika hili

Umri wangu kwasasa ni 28
Ni mkristo

Hitaji langu ni kumpata mwenza alie smart in and out

Sichagui rangi, urefu sijui ufupi ila uwe tu smart sababu naamini mume ni zaidi ya physical appearance

Umri usiwe chini ya 30

Na ni vizuri ukiwa ni mkristo

Mambo mengine ya msingi tutafahamishana pm

Karibuni!
Pictures please.
 
Mnapokoseaga ni hapo kwenye age,hvi unadhan kna mwanaume over 30 hajaoa au hana mchumba/dem ?,toa age limit uone kam nusu saa inapta hujatangaziw ndoa
 
Miongoni mwa wasichana walioweza kutumia akili na busara katika kutafuta wenza humu jf we ni number one. Mungu atakupa hitaji la moyo wako dr, hakika umekomaa sana kiakili nimekupenda.
Kama hujaoa changamkia fursa hii mkuu huwezi jua
 
Kama umemkosa kanisani basi inawezekana kuna problem somewhere!
 
Back
Top Bottom