Mungu baba bariki siku hii ya leo nimpate yule ulieandaa kwa ajili yangu (mume)

Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wako. Ila usije kujilaumu kwanini hupati mtu au abachelewa pengine fungu lako halipo humu. Cha msingi kuwa na moyo subira hakuna kinachoshindikana
 
Baada ya kufanya upelelezi wangu wa kina nimegundua wanaoanzisha threads za kutafuta waume ni wanaume wenyewe!! Acheni utapeli!
 
Mungu akusaidie upate hitaji la moyo wako. Ila usije kujilaumu kwanini hupati mtu au abachelewa pengine fungu lako halipo humu. Cha msingi kuwa na moyo subira hakuna kinachoshindikana
Amen
 
Njoo pm, mm nakufaa ila utakuwa na dadako hapa, nina pesa ya kuhudumia wote kwa mapenzi ya dhati bila kubagua, ww utaona, karibu PM
 
Tatizo napenda tuchati tu kama marafiki hayo ya mke mpaka Mungu aweke vema maana haka ka kizazi ketu haka mmm!!!!!!!
 
Habar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nikiona uzi kama huu huwa nafurahi sana moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…