francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa watu na akili zao wanasema tatizo la Arsenal ni kocha, tatizo sio kocha ni quality players, tangu lini Arsenal ikawa na midfielder wa kiwango cha Guendoz au center back wa kiwango cha Sokratis.
Na mwaka huu kushuka daraja hakuepukiki
awapNa mwaka huu kushuka daraja hakuepukiki
Wapo 5 points away from the relegation zone, subiri tu utaona.awap
Wapo 5 points away from the relegation zone, subiri tu utaona.
Na kila wakikutana na timu zilizo chini yao kwenye msimamo wa ligi ni either wanafungwa au wanalazimisha droo, mfano Brighton na Southampton.Na pia wapo 10 points away from top four...hahahahaha